Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kwanini heading imeanza na madawa ya kulevya na bado mpaka sasa hawajabadili. mbona wengine wakitajwa mnafuta Uzi muda huo huo.
hata hiyo kukamatwa....bora wangesema Mbowe ajisalimisha Polis
 
Wewe utakuwa ulikuwa unazunguka ucku kucha kumsaka mbowe na inaonekana hukulala kwa mumeo kisa kumsaka mbowe ili ubahatishe uteuzi wa SIZONJE
 
Jitahidi kupotosha,utapata tu cheo.
 
Hongera sana.Maana na kesho kwenye kesi ya Makonda uwe wa kwanza kutuhabarisha pia
Nihabarishe my vipi dogo ataburuzwa kesho kwenda kwa pilato?
Court ipi nijisogeze mdogomdogo
 
"Mh. Mbowe amekamatwa akiwa anaelekea kituo cha Polisi cha kati"- ITV
 
Waliokua wanampa Kichwa kwenye Uzi ule wa kujisalimisha wako wapi? Eti asiende mbowe alijua vyombo vya Ulinzi na Usalama atavizidi akili?
Wamechuza kweli kweli
 
Cc: lizagono ooops!![emoji87]

Cc: lizaboni
 
ITV wamesema Mbowe ameshuswa kwa lazima kwenye gari yake binafsi, na kupandishwa kwa lazima kwenye gari ya polisi, wakati alipokuwa njia kuelekea kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam.

Uonevu huu uko mbioni kufikia mwisho!

Mimi binafsi naamini, Giza likizidi huwa asubuhi ndio inakaribia kufika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…