Video leta wewe mkuu. Ila usipotoshe umma kwa sababu binafsi, Mungu hafurahishwi.Weka walisemaje! Maana video zipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video leta wewe mkuu. Ila usipotoshe umma kwa sababu binafsi, Mungu hafurahishwi.Weka walisemaje! Maana video zipo!
Wakoloni waliwahi mno kuondoka,na awamu hii wamelitambua hiloMhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mbowe alikua njiani kuelekea Central ndipo Police waliposimamisha gari lake na kumuamuru apande gari la Police.Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Sometime naelewa kwa nini hichi kimeo hakichagui Dini Fulani. Unafiki unafiki unafikiMi najiuliza Mbowe kama hausiki kwa nn anajificha au anaogopa dhambi zake zisisemwe hadharani
Wacha abebe msalaba wake mwenyewe, nimemshangaa badala ya kujisalimisha akaamua kusikiliza ushauri wa Zitto Khaa! Haya sasa tuone kama Zitto atamsaidia.Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
na wewe acha UONGO kilamtu kaiangalia ITVAcha kupotosha umma mkuu. Wengi tumeiangalia hiyo taarifa ya ITV...hakuna sehemu ndugu mtangazaji alisema "Ameshushwa kwa Lazima na kupandishwa kwa lazima kwenye gari ya Polisi"...ukizingatia ITV wameripoti taarifa hii kwa weledi bila kuamsha hisia za upande wowote.
Hatimae wamemuachilia..Hebu Piga 7000 x post 900.
Halafu gawanya kwa 40.
Hata kama siyo Polisi, mwungwana huitika mwitoPolisi gani waliomuita Mbowe?
Roho inakuuma?Kesho wabunge wote wa upinzan watakuwepo dar kwa ajil ya mbowe unafikir mbowe ni kama lisu