Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Wakoloni waliwahi mno kuondoka,na awamu hii wamelitambua hilo
 
Mbowe ni Kiongozi wa KUB anatumia gari ya serikali na dereva wa serikali.....
Hizi nyingine sasa ni siasa nyepesi!
 
Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mbowe alikua njiani kuelekea Central ndipo Police waliposimamisha gari lake na kumuamuru apande gari la Police.

Sasa wewe unaleta stori za vijiweni humu
 
Acha akomae azoee sero maana kazi bado nzito, aache uoga akomae sasa Kama dume ili mqqndamano yakitokea aje mbele!
 
Ukiwa kiongozi wa upinzani Afrika lazima jela kuwe kwako Mara kwa Mara kabla ya kwenda ikulu
 
Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Wacha abebe msalaba wake mwenyewe, nimemshangaa badala ya kujisalimisha akaamua kusikiliza ushauri wa Zitto Khaa! Haya sasa tuone kama Zitto atamsaidia.
 
na wewe acha UONGO kilamtu kaiangalia ITV
ingawa hakukuwepo na picha lkn kashushwa kwenye gari yake na kupandishwa ya Polisi wakiwa njia
na wanamshikilia mpaka sasa baada ya kutoka kwake
sasa unataka kuungana na waliosema alikwenda mwenyewe Central?
 
Hivi akipatikana kwa mkemia mkuu kwamba ni mtumiaji wa hivyo vitu, itakuwa vipi?
 
Kwa taarifa hii tunaweza kuamini kuwa ni rasmi, KUB amelala sero la police central na kesho atatolewa kwenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kupimwa status yake ya kutumia mihadarati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…