watanzania sie waoga....hatuwez kufikia yaliyotokea Rwanda au Burundi..so achana na habari za kumwaga damu! hakuna atakaye mwaga damu rabda amwage jashoTutafika tu,namkumbusha tu John,HII SIYO RWANDA,ASITAKE KUMWAGA DAMU ZA WATU KWA LAZIMA.
Umeambiwa kuwa watu wote wanaokamatwa na polisi ni wahalifu wa sheria na hupenda kulala mahabusu?Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Sasa tunashuhudia viwonder vipya.. Hujaona kile kiwonder cha Minjingu?Viwanda wanajenga lini sasa??
Umeambiwa kuwa watu wote wanaokamatwa na polisi ni wahalifu wa sheria na hupenda kulala mahabusu?Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Alishasema hakuna semina elekeziKwa hiyo hizo nyaraka ndio vielelezo vya madawa ya kulevya? Hii ni aibu ya mwaka kwa watawala hawa waliopo. JK na wastaafu wengine toeni semina elekezi jinsi ya kurun nchi
Ndio maana shughuli zinaenda kimbumbumbuAlishasema hakuna semina elekezi
Good news kwa sababu Mbowe ameachiliwa.Wapinzani kunyanyaswa ni good news hebu fafanua
Sawa nimekuelewa lakini amedhalilishwaGood news kwa sababu Mbowe ameachiliwa.