Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 694
watanzania sie waoga....hatuwez kufikia yaliyotokea Rwanda au Burundi..so achana na habari za kumwaga damu! hakuna atakaye mwaga damu rabda amwage jashoTutafika tu,namkumbusha tu John,HII SIYO RWANDA,ASITAKE KUMWAGA DAMU ZA WATU KWA LAZIMA.