Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Tutafika tu,namkumbusha tu John,HII SIYO RWANDA,ASITAKE KUMWAGA DAMU ZA WATU KWA LAZIMA.
watanzania sie waoga....hatuwez kufikia yaliyotokea Rwanda au Burundi..so achana na habari za kumwaga damu! hakuna atakaye mwaga damu rabda amwage jasho
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Umeambiwa kuwa watu wote wanaokamatwa na polisi ni wahalifu wa sheria na hupenda kulala mahabusu?

Mimi nimewahi kukaa mahabusu masaa. Nakuombea yakupate siku moja na wewe ndipo utajua maana yake nn.

CCM siasa ziliwashinda kitambo. Aseti walizobakiwa nayo ni panic, vitisho na mabavu ya vyombo vya dola.
 
Kwa hiyo hizo nyaraka ndio vielelezo vya madawa ya kulevya? Hii ni aibu ya mwaka kwa watawala hawa waliopo. JK na wastaafu wengine toeni semina elekezi jinsi ya kurun nchi
Alishasema hakuna semina elekezi
 
Hawajaenda kumpima kama Manji, Gwajima na Masogange?? Au walichokuwa wanakitafuta wamekipata??
 
Nchi hii ni nzuri mno,

lkn vilaza wanaoushikilia umimi na
utoto wa fulani, ndio wanaoivuruga nchi.

Kwa maana nyingine kananda Ziro amekosa ushahidi.

Viva CHADEMA YETU 2020
 
Kinachonishangaza ni kuona siasa ya Tanzania vyama vya upinzani kugeuzwa na kuonekana ni uadui badala ya maana halisi iliyokusudiwa wakati vikihasisiwa. ..
 
Nyie Chadema ni wapuuzi sana, mnawalea hawa polisi na uongozi wa Mbowe ni goigoi hadi kufikia polisi sasa wanawashika sehemu za siri nakuzichezea. Ifike wakati tukubali hali halisi kuwa kwa siasa za huyu kiongozi wa sasa Mbowe hafai kuwa mwenyekiti anatakiwa kuachia ngazi chama apewe Lema. Hili tamko mnalialia tu lakini hakuna tamko lolote la nini kinafuata. Mzee Lowassa ndio amewapumbaza mpigeni chini turudi kwenye siasa za harakati
 
Back
Top Bottom