Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Mm ni mtu wa ccm lkn naichukia sana ccm kwa sasa kwa sababu ya serikali yake mbovu inayokandamiza na kutesa watu hasa wapinzani pia ubabe na visasi ambavyo havisaidii chochote, wao wanafikiri kwamba wananchi hatuoni kinachoendelea juu ya mbowe pamoja na wengine, tunajua kabisa na tunaona kwamba ni udharirishaji, lakini kwa hali iliyopo kwa sasa na jinsi watu walivyo kasirika magufuli hawezi kurudi ikulu 2020 tuko pamoja nanyi watu wa chadema hadi watu walioko vijijini wanawaunga mkono na wanasema magufuli badala ya kusaidia watu wana dhiki yy yuko busy kukamata wapinzani, ninacho waomba pangeni safu nzuri inayoaminika mbele ya jamii kuanzia mgombea hadi wengine, na pia hakikisheni mjajijenga vizuri hadi vijijini ambako wanadanganywa kwa urahisi. Nawatakia kila la heri.
 
Suala hili linaleta ukakasi sana, ni aibu kwa jeshi la polisi, naomba haki hii ya kuachiwa watu usiku na siku za weekend iwe extended kwa raia wote wa Tanzania na wageni pia
weekend ipi Mkuu? Uko Tanzania kweli wewe?
 
That doesn't kill makes you stronger.
Mpumbavu mmoja hawezi kuharibu nchi yenye watu 45mil.
Hili pogba nalichukia sn
 
Wawe ukawa wawe ccm tusikosoe vitu bira hoja na uthibitisho, je ikitokea mbw akapimwa akakutwa ni mtumiaj hiv tunaosema ameonewa mara upinzan unakandamizwa tutasema nn tena hapa? Najua itageuka haaaa wamemuwekea [emoji23] [emoji23]
 
Kwani red brigade ya chadema IPO Kenya??au lile shamba lao la ujasusi lipo bagamoyo ya somalia..?? Humu mnajifanya kuongea..wakishughulikiwa mnasema chuki za kisiasa..nikuulize swali..kipindi cha kampeni ulikuwa unawaona hawa Jamaa na lowasa ofisi za ufipa?? Hilo ndio jumba lao la kukutana..linaitwa ngome..huingii hovyo hovyo..lina CCTV kila kona..lina story ndefu hilo jengo
 
Kama nilivyosema kwenye ujumbe wangu wa awali, hii sio vita dhidi ya wafanya biashara ya madawa haramu bali ni vita ya kisiasa dhidi ya sisi wapinzani wa CCM na Rais Magufuli. Kwa uthibitisho wa kauli yangu naomba niwapatie orodha ya vitu walivyokamata polisi nyumbani kwa Mwenyekiti Mbowe. Vitu hivyo vimeorodheshwa kwenye fomu na. DCEA 003 inayoitwa 'Hati ya Ukamataji' iliyotolewa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kama ifuatavyo:
(1) Hati moja ya CHADEMA CHASO kwenda kwa Mwenyekiti ya tarehe 16/7/2013
(2) Picha mbali mbali nane za matukio ya uhalifu - picha za wahalifu wanaoharibu mali
(3) Hati moja ya Rasimu ya Kwanza ya CHADEMA kuhusu uundwaji wa Red Brigade
(4) Hati moja ya kurasa 13 inayoongelea mambo ya Muungano.

Hivi ndivyo vielelezo vilivyokamatwa nyumbani kwa Mwenyekiti vinavyothibitisha kwamba yeye ni muuza unga!!!


..............................................................................

Hizo ni aina mpya za madawa ya kulevya zilizogunduliwa na policcm,madawa hayo hatari husababisha serikali ya ccm iwe kama teja na kuishia kuweweseka na kutoa matamko,madawa hayo mapya kabisa katika ulimwengu wa madawa ndiyo yaliyosababisha kupigwa marufuku kwa mikutano ya kisiasa.

Nazidi kumshukuru Mungu kwa kutokuwa miongoni mwa mazezeta wanaoshabikia siasa uchwara zinazoendeshwa na serikali ya ccm,kelele zote zilizokuwa zinapigwa zikimtaka Mbowe ajisalimishe kumbe zilisababishwa na "alosto" ya serikali kwa kukosa Dawa za kustimuleti misuli ya kupigia push ups?

Haya,mmekamata aina nne za dawa hatari kabisa zinazoilevya serikali,chukueni hatua ili "doni" huyu hatari anayeingiza nchini dawa za kuilevya serikali kiasi cha kuwafanya baadhi ya watumishi wa serikali watamani kuwa migambo,sungusungu na igp ili kukabiliana na waosha magari adhibitiwe vya kutosha asiweze kuendelea na biashara hii haramu inayowafanya wakuu wa serikali walale na viatu.
 

Salaam ziwafikie wote wanaomsifia Makonda kwa kazi hii njema ya kupoteza ushahidi kwa kutangaza list ndeefu ya wahusika na kuwapa muda wa kutosha kuondoa ushahidi na links zozote zinazoweza kuwashikisha wahusika, na salaam ziwafikie wote waliobomoa bilicanas and casino, ushahidi wowote kama ulikuwepo umeshapotezwa, yaani katika hili wataopatikana ni mateja tu wataoanza kuweweseka ndani ya rumande kwa kukosa dawa za kuwastiri
 

tuhuma si za kweli , kama kungekuwa na chembe chembe ya ukweli l asingeachiwa. Ila utashangaa jinsi 2020 CCm watavyo shinda kwa "kishindo"
 
Nimekudharau sana kutumia muda wako kuanzisha thread kwa ajili ya comedian Lizaboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…