Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Chadema bana Mara wanakanusha hakukamatwa alijipeleka Mara wanakiri kakamtwa daah

Alikamatwa au alienda mwenyewe kwetu si hoja,hoja ni aina mpya za madawa ya kulevya yaliyokamatwa nyumbani kwa Mh.Mbowe.Madawa haya mapya kabisa katika ulimwengu wa madawa ya kulevya ndiyo yanayotupa picha halisi ya sarakasi hizi zinazoitwa vita dhidi ya wauzaji wa dawa za kulevya.
 
Kamanda siro anasema wamempekua nyumbani kwake na hawakukuta kitu, sidhani kama wako serious hawa watu na vita hii. Maana unamtaja mtu inachukua almost a week alafu unaenda kumpekua hata kama ni kweli anatuhumiwa kwa shutuma hizi utakuta kitu kweli? Alafu tena unasema amepewa dhamana lakini uchunguzi unaendelea, daaah hii ndio intelligency ya bongo!!
 
Walisema tamko la Makonda halihusiani na Mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya kwa kuwa Kamishna wake aliteuliwa na kuapishwa baada ya tamko la Mkuu was Mkoa wa Dsm. Sasa Polisi kutumia fomu ya Mamlaka ya Madawa ya Kulevya kumbukumbu DCEA 003 ina maana Polisi sasa kimyakimya hawana meno tena kutekeleza amri ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda!

Tunashukuru kuona mwenyekiti ameachiliwa mapema kutokana na mbinyo mkali wa wakili nguli Tundu Lissu pamoja na viongozi wa juu wa chama kuwepo na kushuhudia zoezi hili la kukandamiza upinzani bila kusahau ufuatiliaji unaofanywa na jamii yote ya upande wa upinzani kuhusu taratibu za misingi ya haki ,sheria na katiba ya nchi kuzingatiwa.
 
Yaani ndani ya Chadema, Mtu anakamatwa, anapelekwa kunyea debe - Makamanda wanakusindikiza na vipost vyao facebook, vinasaidia nini sasa - Mtu anauawa vivyo hivyo
 
Kamanda siro anasema wamempekua nyumbani kwake na hawakukuta kitu, sidhani kama wako serious hawa watu na vita hii. Maana unamtaja mtu inachukua almost a week alafu unaenda kumpekua hata kama ni kweli anatuhumiwa kwa shutuma hizi utakuta kitu kweli? Alafu tena unasema amepewa dhamana lakini uchunguzi unaendelea, daaah hii ndio intelligency ya bongo!!
Wanatumia DNA hata kama umepukuta basi DNA itaonyesha uwepo wa hiyo kitu. Teh teh.
 
Tundu kawa mtetezI wa ujinga

Nadhani ungekuja na andiko lenye maana hasa kwa kutueleza ni ujinga gani alio tetea TL kwa kuleta hati ya upekuzi yenye vitu tofauti na alivyotaja. Andiko la fikra za kusadidika (day dreams / illusions) mara nyingi linaakisi uwezo wa kufikiri / uelewa wa mwandishi husika.
Asubuhi njema.
 
Yaani ndani ya Chadema, Mtu anakamatwa, anapelekwa kunyea debe - Makamanda wanakusindikiza na vipost vyao facebook, vinasaidia nini sasa - Mtu anauawa vivyo hivyo

It is ok, but it is a matter of time kumbuka mtenda hutendewa au mwosha huoshwa. Ni bora kuishi kwa usawa na haki kuliko kwa nguvu ya kulazimisha kuabudiwa kwa kuogopwa.
 
Wazungu wametuweza kweli,yani wakati sie afrika serikali zikipambana na wapinzani na wapinzani nao wakishindana na serikali,wao wazungu wanajenga nchi zao na sie huku tumebaki kuwasifia tu.
 
Back
Top Bottom