Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Si alisema hatoenda Central ? ile misuli mbele ya waandishi wa habari imeishia wapi? ikiwa kama hajakutwa na madawa si ndio uzuri au wewe ulitaka akutwe na madawa? Muppet
hii ndio shida ya ugonjwa wa SIZONJE unavowasumbua.. amewaambukiza ''WATOTO'' lumumba
kukurupuka kubaya sana...
ona hata kusafisha makalio umesahau
 
Jamani kingine mnapotafsiri neno Central Police mnapaswa kuandika Kituo kikuu cha polisi na si kituo cha kati.
Acha Kupotosha Kituo Kikuu pale ndo kuna IGP yeye alipelekwa Kituo cha Kati pale karibu na Bandari
 
Kaachiwaje sasa, kwa dhamana, kwa kupewa honyo ama kwa utaratibu hupi?
 
Hii tabia ya bavicha kutoa matamko na baadae kuja kuyakana inashamiri kwa kasi ya ajabu.
Ni chadema hawahawa walitangaza Lowasa ni fisadi baadae wakamsafisha,
Ni chadema hawahawa walitangaza wanataka rais dikteta lakini baadae wakakana.
Ni chadema hawahawa walitangaza Sumaye ni Mr zero lakini sasa hivi wamemkumbatia.
Ni chadema hawahawa walitangaza hawatapokea makapi ya ccm, baadae wakayauzia chama makapi ya ccm!!

Juzi tu Walitangaza Mbowe haendi polisi kwa namna yoyote ile lakini jana ameenda na kuhojiwa kama kawa!!

Bavicha na chadema kwa ujumla mtaacha lini kulamba matapishi yenu ??

Kweli nchi mpewe nyinyi vigeugeu msio na msimamo kiasi hiki??

Jipimeni kama zinawatosha.
 
Huu uzi page nyingi naona hata uvivu kuzisoma! ehe alivyokamatwa jana nini kimeendelea?
 
In
Hii tabia ya bavicha kutoa matamko na baadae kuja kuyakana inashamiri kwa kasi ya ajabu.
Ni chadema hawahawa walitangaza Lowasa ni fisadi baadae wakamsafisha,
Ni chadema hawahawa walitangaza wanataka rais dikteta lakini baadae wakakana.
Ni chadema hawahawa walitangaza Sumaye ni Mr zero lakini sasa hivi wamemkumbatia.
Ni chadema hawahawa walitangaza hawatapokea makapi ya ccm, baadae wakayauzia chama makapi ya ccm!!

Juzi tu Walitangaza Mbowe haendi polisi kwa namna yoyote ile lakini jana ameenda na kuhojiwa kama kawa!!

Bavicha na chadema kwa ujumla mtaacha lini kulamba matapishi yenu ??

Kweli nchi mpewe nyinyi vigeugeu msio na msimamo kiasi hiki??

Jipimeni kama zinawatosha.
Inakuhusu nini?Tushushi bei ya unga basi ila walala hoi tupate angalau mlo mmoja
 
Hii tabia ya bavicha kutoa matamko na baadae kuja kuyakana inashamiri kwa kasi ya ajabu.
Ni chadema hawahawa walitangaza Lowasa ni fisadi baadae wakamsafisha,
Ni chadema hawahawa walitangaza wanataka rais dikteta lakini baadae wakakana.
Ni chadema hawahawa walitangaza Sumaye ni Mr zero lakini sasa hivi wamemkumbatia.
Ni chadema hawahawa walitangaza hawatapokea makapi ya ccm, baadae wakayauzia chama makapi ya ccm!!

Juzi tu Walitangaza Mbowe haendi polisi kwa namna yoyote ile lakini jana ameenda na kuhojiwa kama kawa!!

Bavicha na chadema kwa ujumla mtaacha lini kulamba matapishi yenu ??

Kweli nchi mpewe nyinyi vigeugeu msio na msimamo kiasi hiki??

Jipimeni kama zinawatosha.
hakuna Jipya hapa naona marudio please jaribuni kufikili nje ya box
 
67752f006aefa791034aca4d9112920b.jpg
 
Umefika wakati sasa kuachana na jf, taarifa ni ya uongo MOD haiondoi, isitoshe huko nje kuna tittle nyenge na ndani kuna nyengine., Wasiwas wangu mkubwa na MOD hapa jf amekumbwa na virusi vya CCM
 
Attachments

  • MBOWEE.png
    MBOWEE.png
    40 KB · Views: 34
Ni asili yetu watanzania kufanya yale tuliyoyakataa CHADEMA vigeugeu hata sisi wenye nchi CCM vigeugeu pia
 
Ccm hukumu yenu ipo kwa mwenyezi mungu
Hakuna kitu kama hicho mwenyezi mungu bali kuna Mwenyezi Mungu

By the way, always try to read between the lines try not to jump into conclusions, usirukeruke kama maharage yanapoivishwa
 
CHADEMA chama kinaendeshwa kwa kwa upendeleo Tundu Lissu na Freeman Mbowe wamekamatwa hata siku tatu hawajakaa watu kibao wanalishughulikia.

Leo Godbless Lema anaozea jela bila Msaada wowote wa CHADEMA tumesikia Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa Ufisadi mkubwa akikatisha Mapumziko yake huko monduli kushughulikia Suala la Mbowe.

Lema anazoea Kisongo kwanini hasaidiwi?
 
Makonda na Sirro mmekurupuka saana, Hamna weledi na akili ya kuwa viongozi wa Dar es salaam. Mkajipande tena ...... maana usanii umewajaa katika utendaji kazi wenu, Hamna tofauti na the comedy.​
 
Back
Top Bottom