Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Chadema bana Mara wanakanusha hakukamatwa alijipeleka Mara wanakiri kakamtwa daah
Yawezekana alienda mwenyewe na alipofika wakamkamata! Baadaye wakamwachia, sasa utata uko wapi?
Japo alienda mwenyewe kwa hiari lakini hakutoka kwa hiari ilibidi wamwachie! Huwezi kumwachia MTU ambaye hukumkamata! Hicho ni kiswahili tu!
 
Jamani kingine mnapotafsiri neno Central Police mnapaswa kuandika Kituo kikuu cha polisi na si kituo cha kati.
Cha kati kiko wapi? Wewe unatafsiri kwa kuwa center ni kati pole sana. Kiingereza usikichezee baba kinabadilika maana kila kinapotumiwa sehemu tofauti. Central ni sehemu kuu, yenye matawi.
 
Mbowe kaachiwa. kanywe sumu sasa!
 

Well said.
Hakika katika hili Mhe. Mbowe na CHADEMA wasirudi nyuma lazima kieleweke! Kama ni kweli Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa KUB Nungeni amekutwa HANA MADAWA ya kulevya iwe sijui Cocaine,Heroin,Bangi, Mirungi,n.k LAZIMA MBOWE NA CHADEMA WATOE FUNDISHO KWA POLISI,MAKONDA,SIRRO,MAGUFULI na Serikali yao ya CCM!
Haiwezekani Watawala waingize siada za kutaka KUUA UPINZANI KWA KUTUMIA KISINGIZIO CHA KUBAMBIKA WATU KESI ZA KIHUNI!!!!!!
Watanzani shime tukatae upumbavu huu na lazima ukomeshwe mara moja!
 
daaah hii hatari aisee utawala bora uko wapi utawala wa sheria uko wapi demokrasiya iko wapi semeni basi huu utawala wa kifalme hauna katiba wala sheria tujue moja hakuna haja ya kuwa na upinza tanzania kama hao wapinzani hawaheshimiwi
Acha uyatima Wa hoja,kuchunguzwa kwa jambo lolote kwa MTU yoyote ni kawaida sana,kuna mtakatifu gani katika nchi hii hata haya yasimpitie?huo ndio utawala Wa sheria ,siyo kukamata kamata vidagaa vilaji vya mwisho.Acha serikali ifanye kazi yake tumewapatia dhamana wenyewe.Kama hujaona mwathirika Wa madawa tafuta uonyeshwe ,maana unavyoongea utathani hakuna tatizo hili katika nchi
 
Lizabon na msemaji wa jeshi la polisi, Mzee Siro pamoja na Bosi wao Mzee wa kusafilisha walimu bule wanazo talifa?
 
Umezaliwa mjini wewe?
Serena Hotel Maeneo ya Akiba?
Kituo Kikuu cha Polisi chenye IGP ndio kipo huko?
Ahsante kwa Taarifa
Simply Unaweza Kusema Karibu na Serena, Golden Jubelee Tower, Exim Makao Makuu, Barclay's Bank, Akiba Bank, haitoshi Inaweza Kusema Karibu na HQ za NMB wanaita jengo la Sanaa sijui Kama Haitoshi Unaweza Kusema Mtaa wa Ohio.
 
Watanzania wote tupige vita Madawa ya kulevya pia tusiwe washabiki wa suala hili tuviachie Vyombo husika vifanye kazi yao
 
Mbona Ume queto Kitu kingine Angalia Vizuri

Vipi umeshaanza kuelekea Mahakama kuu??Si ulitaka uandikiwe BARUA kuitwa ??Mbona umekuwa muoga kama kunguru?Nenda sasa hapo Mahakama kuu.Uko bwi na Madawa Madaraka
 
Vipi umeshaanza kuelekea Mahakama kuu??Si ulitaka uandikiwe BARUA kuitwa ??Mbona umekuwa muoga kama kunguru?Nenda sasa hapo Mahakama kuu.Uko bwi na Madawa Madaraka
Hujui kuwa aliachiwa au ndio nyie mnaojua habari za juzi leo
 
kamanda wa LUMUMBA uko wapiii mbona kimyaaaa!!
updates vepeeeee???
 
Manyumbu wanasema eti hakukamatwa?

NAni amekwambia alikamatwa??Angekamatwa Policcm wangemuachia huru??Sasa itikia wito nenda mahakamani unaitwa kujibu mashtaka ya kutumia NGADA aina ya MADARAKA.Hivi hujua muosha huoshwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…