Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Maamuzi yakichukuliwa kwa kufuata misingi ya sheria pasipo uchama, udugu, na mambo mengine yanayo mnyima mtu hakiyake yatakuwa Maamuzi sahihi na maamuzi muhimu kwa watanzania ktk kesi za madawa yakulevya
 
kinachonishangaza ni polis kukagua nyumba ya mbowe! Kweli Mbowe ni kiraza wa kiwango hicho!!!! hatakama angekuwa anahusika na dawa za kurevya tangu alipoyajwa, bado dawa hizo kazirundika nyumbani kwake tu!!!!
hii ni ile ya marekani kwa sadam hussein na mabom ya nyukria!!!!!
 
mahakama c imewakataza
 
Sijui hata alikuwa anaogopa nini.Kama Mwenyekiti anaogopa polisi hivi kiasi cha kufikia kuwapeleka mahakamani wasimkamate,huo ukombozi anaohubiri ni ndoto tu
 
Mkuu ukiweka dawa za kulevya kwako halafu ukaondoa,bado kuna vitu haviondoki,zile sio nyanya
 
Haya unayoyasema (prejudice)
ndio yanafanya watu wasiwe na imani na Kamada Sirro na timu yake kwamba kweli Mbowe anatafutwa kwa ajili ya madawa ya kulevya

Mkuu;
Mbona wanichongea?? Kwa lipi nililosema jipya hapo?? Yaan waona kuwa Kamanda atajitutumua hivyo bure?? Sitaki kuamini
 
Ila wapinz.... Sjaona ni yupi tumpe nchi had mjipange ndo Mola atawahurumia tofauti nahapo ili kuchukua nchi basi muwe kama aseno kuiba kombe[emoji23] [emoji23]
 
Tumempekua mtuhumiwa na tumekuta hana chochote tulicho kihisi

Sisi tuna kufahamu zaidi ya wewe unavyo jifahamu tuna ushahidi wako miaka 10
 
Sijui hata alikuwa anaogopa nini.Kama Mwenyekiti anaogopa polisi hivi kiasi cha kufikia kuwapeleka mahakamani wasimkamate,huo ukombozi anaohubiri ni ndoto tu

Soma historia ya Tanganyika uje utueleze,
hayati baba wa Taifa Mwl JK Nyerere alikamatwa na kupelekwa mahakamani
na wakoloni mara ngapi hadi Tanganyika ilipopata uhuru?
 
Mwandishi, utunzi wako ni wauongo. Kichwa cha habari hakifanani na habari yenyewe.
 
Sheria zipi unazozungumzia wewe ndo hizi hizi zinazovunjwa kila kukicha na wenye mamlaka? Huwezi kufundisha utii wakati wewe mwenyewe si mtiifu kwa unachokifundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…