Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dah sasa magufuri si upunguze police hawana kazi?

Jamani magufuri hii ni dili la watu kupiga pesa? Umebana nao wanakudanganya wanafanya kazi kumbe wanapiga pesa

sasa kama kweli wameenda kwa mbowe si kudharirisha taaluma yao?

Au hiyo ndo hapa kazi tu? Ukija kustuka kutakuwa kumekucha.
 
Mbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Ni kweli ni uongozi imara. At least unaingiza buku saba saba

Si haba.
 
Duh Majibu ya mkemia tu ndo nayawazia maana kama yakitoka ndivyo sivyo heshima ya mtu inakwenda kuzikwa rasmi
Nakumbuka Manji alipokelewa kama mfalme tena baada ya Majibu ya mkemia mkuu.....
 
Duu hali ya hivi sasa hapa nchini Tanzania ni kma mtu unapita kwenye njia ya treni kma ikitokea ukagongwa na treni.. [emoji3] [emoji3] [emoji3] we Ndio unahesabika kuwa umeigonga treni
 
Hajaenda mwenyewe, usipotoshe, ukweli tuukubali mengine baadae.

Ulikuwepo polisi??Au wewe ndiye uliyetumwa kumkamata??Pole sana wenzio wameshajua ukweli SAA hizi wanajutia maneno yao ya ufedhuli.

Haya tunahitaji Castle ngapi umalize Siku yako??Au Mr.Masogange kesha kupata tayari??
Hajaenda mwenyewe, usipotoshe, ukweli tuukubali mengine baadae.

Wewe Ndiyo umetumwa kumkamata??Vipi tunahitaji Castle ngapi ushushie furaha yako??Au Makonda ameshakulipa tayari??
 
Tunalea ujinga kwa sababu moja tu nayo ni kwamba hatujui gharama ya ujinga. Pamoja na ujinga kututafuna kwa nusu karne, awamu hii tumeamua kuutukuza kwa kuumwagilia mbolea uzidi kustawi zaidi. Tatizo la ujinga ni kuwa si rahisi kujitambua kwamba ni mjinga na ukiuacha ukomae hugeuka donda ndugu, hauponi kwa haraka. Hakuna kibaya zaidi ya kutojua kwamba hujui...yaani kujiaminisha unajua kumbe kiukweli hujui, huo sasa ni ugonjwa.
 
Mbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Kwa yanayoendelea nikiwa nchi za watu nitakana kama mimi ni mtanzania.

Aibu kabisa hii!!
 
Mkuu, leo chadema wamechanganyikiwa sana. Yaani kukamatwa kwa Mbowe ni kama chama kimedhalilika. Henry Kilewo, Tumaini Makene na John Mrema wamesimamia propaganda ya kuwa Mbowe kajipeleka mwenyewe polisi. Sijui kwa nini hawakutoa mapema taarifa hiyo mpaka Lizaboni alipoumbua kukamatwa kwake. Yamechanganyikiwa

Hongera ambaye kuripoti kwa Mbowe polisi hakutuletei viwanda wala ajira mpya.Ila furaha yako kuna.siku itakuwa msiba wako.

Hongera Lizabeth.Wasalimie Songea.
 
Duh! Yani baada ya kusikia yaliyowakuta akina Gwajima na Manji, ambao unaweza kukubali kidogo labda walishitukizwa (although walishasikia kuwa kina Wema na wenzake walisachiwa), unategemea umshachi 'mtuhumiwa' mwingine yeyote ukute kitu? Hata kwa mvuta sigara tu hutakuta hata kichungi....

Labda kama nia ni kutafuta vitu vingine kama passport na documents nyingine ili lipatikane na kumtia sekeseke. Otherwise ni kutimiza tu malengo ya MZEE WA MARINDA MTATUKO....yani kutunishiana msuli tu...kuonyesha NANI ZAIDI....basi.
magu ana ubabe wa kizamani sana. inferiority complex inamtesa sana
 
Back
Top Bottom