wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Wewe naye wale wale tu. Yaani hapo kuna siasa gani sasa. Kama sio kujigeuza hayawani tu.Wema kaongea ukweli wengi wasioupenda me nina huakika hili suala limekaa kisiasa
Huyu dada kaongea kile anachokijua,kwanini polisi walazimishe wataje bosi wake wakati ameshawambie yeye hajui chochote,kwanini polisi wasitumie nguvu walizokuwa naza kuchunguza kwanza kabla ya kuvamia katika nyumba za raia,kisheria "search warrant" anaetoa ni hakimu lakini hii kesi ukiingalia inaongozwa na Mkuu wa mkoa,Sheria iko wapi,nchi inaongozwa bila ya sheria,nchi inayoongozwa bila ya sheria ujue haina tafauti na pori na watu wake wote ni wanyama.na hivi ndio ilivyo Tanzania kwa sasa!!!!Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Tundu Lissu akamtetee kada wa CCM?Halafu Wakili na mshauri wa Wema ni Tundu Lisu, hapo sasa ndiyo ujue nchi yetu tuna shida!
khe ni wewe unaeona hivo vijisent vya kutumwa na kujiuza ndo hela.l tell hapo vijisent tu kelele angezishika je kama wahusika wenyewe ungesemajeHivi wewe dada mbona kusoma hujui hata picha uoni?? ulitaka amwage barabarani ndio ujue anazo?? Wema ana gege kubwa sana nyuma yake linalompa kiburi na pesa ndefu hata viongozi wetu wanamtumia kwenye mishe zao na hata wafanyabiashara wakubwa kiufupi wema ni muuzaji unga na mwili ila sio mtumiaji namjua fika
OVER
Unataka kutuaminisha nini hapa?WALIKUWA HAWAJUI HATA YULE MKONGO WA WEMA HATA SIO MKONGO HAHAHAHAHA HAHAHAHAHA MZIKI MTAMU HUU....
OVER
Wale walikuwa wanamchora wema wala sio wakongo ni TISSUnataka kutuaminisha nini hapa?
DuuuuuuuuuWale walikuwa wanamchora wema wala sio wakongo ni TISS
mbona yupo mda sana!!!kule soko limeisha!All i know is Masogange alichukua uraia wa S.Africa na akaolewa bondeni...je amerudi lini TZ?
Umetisha,Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
unapenda umbeaTurushie hiyo clip ili tuamini unachokisema
Hiyo tayari mbona. Taarifa ya habari imetangaza wamekuta msokoto wa bangi pamoja na karatasi za kuvutia katika makazi yakeAnapotezwa hivihivi tunaona
Huyu dada kaongea kile anachokijua,kwanini polisi walazimishe wataje bosi wake wakati ameshawambie yeye hajui chochote,kwanini polisi wasitumie nguvu walizokuwa naza kuchunguza kwanza kabla ya kuvamia katika nyumba za raia,kisheria "search warrant" anaetoa ni hakimu lakini hii kesi ukiingalia inaongozwa na Mkuu wa mkoa,Sheria iko wapi,nchi inaongozwa bila ya sheria,nchi inayoongozwa bila ya sheria ujue haina tafauti na pori na watu wake wote ni wanyama.na hivi ndio ilivyo Tanzania kwa sasa!!!!
Ya kihindiangetulia tu kwani wenzake akina kigogo tid haiwaumi?
Ngoja nikae vizuri nishuhudie hii movie stelingi atafia wapi?
Well said[emoji4]Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Kimombo kimomboni.Bado anaendeleza drama Duh!! Anataka kukimbia na hana breaking what do her expect??
Hivi kweli kosa hili la kumpoteza mtu?? Wabunge kibao wavuta bangi.Hiyo tayari mbona. Taarifa ya habari imetangaza wamekuta msokoto wa bangi pamoja na karatasi za kuvutia katika makazi yake