Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Basi sawa ataje na wengine kwani watuhumiwa wameisha atulie dawa iingie kumbe ndo maana yule akaja kutuhubiria kuhusu brand sisi Hatuna shida na brand shida yetu ni kupunguza "mazombi" mtaani vijana wamekuwa kama mazombi kwa kutumia ngada
 
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Huyu dada kaongea kile anachokijua,kwanini polisi walazimishe wataje bosi wake wakati ameshawambie yeye hajui chochote,kwanini polisi wasitumie nguvu walizokuwa naza kuchunguza kwanza kabla ya kuvamia katika nyumba za raia,kisheria "search warrant" anaetoa ni hakimu lakini hii kesi ukiingalia inaongozwa na Mkuu wa mkoa,Sheria iko wapi,nchi inaongozwa bila ya sheria,nchi inayoongozwa bila ya sheria ujue haina tafauti na pori na watu wake wote ni wanyama.na hivi ndio ilivyo Tanzania kwa sasa!!!!
 
Ha ha ha NIKIKUMBUKA MATUSI YA WEMA KWA LOWASA KWENYE KAMPEN SINA HAMU NA HUYU DADA NASEMA HIV WEKA JELA HATA MIAKA 10000000000008473....
 
Hivi wewe dada mbona kusoma hujui hata picha uoni?? ulitaka amwage barabarani ndio ujue anazo?? Wema ana gege kubwa sana nyuma yake linalompa kiburi na pesa ndefu hata viongozi wetu wanamtumia kwenye mishe zao na hata wafanyabiashara wakubwa kiufupi wema ni muuzaji unga na mwili ila sio mtumiaji namjua fika

OVER
khe ni wewe unaeona hivo vijisent vya kutumwa na kujiuza ndo hela.l tell hapo vijisent tu kelele angezishika je kama wahusika wenyewe ungesemaje
 
Nachojua Mkonda nae sio msafi ndo maana Nape nauye kaongea kitu mka mpuuza
 
Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
Umetisha,
 
Huyu dada kaongea kile anachokijua,kwanini polisi walazimishe wataje bosi wake wakati ameshawambie yeye hajui chochote,kwanini polisi wasitumie nguvu walizokuwa naza kuchunguza kwanza kabla ya kuvamia katika nyumba za raia,kisheria "search warrant" anaetoa ni hakimu lakini hii kesi ukiingalia inaongozwa na Mkuu wa mkoa,Sheria iko wapi,nchi inaongozwa bila ya sheria,nchi inayoongozwa bila ya sheria ujue haina tafauti na pori na watu wake wote ni wanyama.na hivi ndio ilivyo Tanzania kwa sasa!!!!

Mkumbuke kuwa wenzake walikamatwa pia na labda wamemtaja.
 
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Well said[emoji4]
 
Hiyo tayari mbona. Taarifa ya habari imetangaza wamekuta msokoto wa bangi pamoja na karatasi za kuvutia katika makazi yake
Hivi kweli kosa hili la kumpoteza mtu?? Wabunge kibao wavuta bangi.
 
Back
Top Bottom