Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Let me kiss you for this,ukweli umeshajulikana ,wema awekwe ndani tuMchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Mungu akupi vyote kiongozWema ni mwanamke mzuri lakini Mungu kamnyima akili (uwezo binafsi wa kufikiri na kupambanua mambo)
Ishu hii ni kubwa inatazamwa na watu wengi hakutakiwa kuongea lolote wala kumkashifu mtu, alafu yule mange kimambi wa Instagram nae anamponza Wema sana
Mambo anayoongea yamejaa ujinga mwingi sio rafiki mzuri kwa Wema
Nop! Mange is very smart upstair that girl. You wont catch her like a sitting rabbit
He he heiyaaMmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Mheshimiwa naye kwa kupenda misambwanda hajamboooo!!Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Nenda central utampataJamani niko hoi kwa sauti ya huyu Wema.nitampataje msaada tafadhali
Mdomo uluponza kichwaa....eti they treat us veery good....tukisemaga wema ni zero brain bichw a limejaa kamas timu wema mnanuna...muda huu sio wa kuropoka..Ila jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli
Anazidi kusaidia polisi tu. Alijuaje Masogange anauza madawa ya kulevya Kama hajihusishi na hiyo biashara. Halafu hii audio itazidi kummaliza. Wanasemaga mdomo huponza kichwa.
Ila binamu sheria za tanzania zinaaccept voice note? Maana hanna namna akanae tu sio yeye.... afterall mahabusu hakuna simuanavyosema mbona agnes hamkamati ina maana ni kweli na yeye yumo but ana hasira mange hajatajwa
Akikuharibia na wewe mharibie kama ni mahabusu tayari yupo hivyo she has nothing to lose.Ila jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli
Jamani hyu wema kiboko aiseh,yani ana mambo ya kitoto ,cjui anajua wa tz wote matahira kama wao,wamuweke ndani tu.Mdomo uluponza kichwaa....eti they treat us veery good....tukisemaga wema ni zero brain bichw a limejaa kamas timu wema mnanuna...muda huu sio wa kuropoka..
Hahaha umeona eeehRaha ya kuangalia mechi isiyokuhusu ndio hii, kila goli unashangilia...raha!
Mjini sihami aiseeAlikuwa anajua kuwa wanamrekodi? Kuna sehemu kasema kuna mtu kampangishia nyumba mtu! Aisee kazi juu ya kazi.
sisi tunajua alikamatwa south mara moja,yeye anasema mara nyingi anakamatwa ,so wanajuanaKwani masongane dunia mzima siilijua
binamu tok asubuhi sijapiga mswaki wala kuoga,macho yote insta n jf,asikwambie mtu umbea mtamu bhn,hili mama ubaya waliongezee kesi ya kumtukana muheshimiwa[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha umeona eeeh
Maana ubuyu wa leo mtamuuuuuu wa motoooooooo
Umenena Vyema.Alipaswa kuzungumza na mwanasheria mambo yake sio wambeya wa Insta.Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-