Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
 
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Let me kiss you for this,ukweli umeshajulikana ,wema awekwe ndani tu
 
Wema ni mwanamke mzuri lakini Mungu kamnyima akili (uwezo binafsi wa kufikiri na kupambanua mambo)
Ishu hii ni kubwa inatazamwa na watu wengi hakutakiwa kuongea lolote wala kumkashifu mtu, alafu yule mange kimambi wa Instagram nae anamponza Wema sana
Mambo anayoongea yamejaa ujinga mwingi sio rafiki mzuri kwa Wema
Mungu akupi vyote kiongoz
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
He he heiyaa
 
Mheshimiwa naye kwa kupenda misambwanda hajamboooo!!
 
Anazidi kusaidia polisi tu. Alijuaje Masogange anauza madawa ya kulevya Kama hajihusishi na hiyo biashara. Halafu hii audio itazidi kummaliza. Wanasemaga mdomo huponza kichwa.

Kwani masongane dunia mzima siilijua
 
Ila jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli
Akikuharibia na wewe mharibie kama ni mahabusu tayari yupo hivyo she has nothing to lose.
 
Hahaha umeona eeeh

Maana ubuyu wa leo mtamuuuuuu wa motoooooooo
binamu tok asubuhi sijapiga mswaki wala kuoga,macho yote insta n jf,asikwambie mtu umbea mtamu bhn,hili mama ubaya waliongezee kesi ya kumtukana muheshimiwa[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Umenena Vyema.Alipaswa kuzungumza na mwanasheria mambo yake sio wambeya wa Insta.
 
Back
Top Bottom