Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Huyu Wema anaweza kuwa sio muuzaji tu baki mtumiaji. Anashindwa kujua madhara ya kumtuhumu Makonda kuwa anatembea na Masogange! Hiyo ni kesi ya defamation, Wema ana hela za kumlipa Makonda kwa kashfa anayomtuhumu?

Vv
Na kama jee ushahidi upo kuwa Makonda na muuza madawa na mbebaji Masogange ni wapenzi na ni kweli Kampangishia nyumba ya kuishi itakuwaje? Nyie mnaona kama kashfa hii ni ndogo, lakini ni kubwa mno kwa kiongozi.
Kwanza hapo kuna suala la usaliti wa ndoa ya Makonda pili ushirika wa kimahaba wa kiongozi mpiga vita madawa ya kulevya na mbebaji mkuu wa madawa nayo ni kashfa ya kumpasa kujiuzulu.
Hivi kwa mfano ziibuliwe habari kuwa Waziri wa Maliasili Maghembe anayesimamia vita ya ujangili yule mama wa Kichina Malkia wa pembe ni mchepuko wake tutamuamini tena Maghembe?
 
======

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.

Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.

=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.

Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

biashara hazitaisha hzo as long as people desire wabepari wataendelea faidikia
 
panapofuka moshi panaficha moto.......
 
Wema unamwita Mh. RC .. ma.t*ko.. kweli..?

Hili hapana, hapana aiseee, huyu Wema, adhabu yake mm ningejua cha kufanya..!!
 
Wema unamwita Mh. RC .. ma.t*ko.. kweli..?

Hili hapana, hapana aiseee, huyu Wema, adhabu yake mm ningejua cha kufanya..!!
Atakwrnda kugonga kokoto kwenye ujenzi wa reli ule

OvA
 
Kuna 'audio clip' yenye sauti ya Wema Isaac Sepetu, inatembea mitandaoni, ikiwa na baadhi ya maneno yafuatayo;

".., yaani wanaishi na sisi vizuri sana hawa askari, unafikiri wanatufanya vibaya, hakuna.., yaani wamekwisha kuambiwa, kwamba hawa hakuna kitu, just.. Ni uongo na uzushi, wameambiwa waishi vizuri na sisi" - Wema Isaac Sepetu..

".., Makonda anatembea na Agness Masogange na amempangia nyumba Makongo ndo maana hajakamatwa katika kadhia ya dawa za Kulevya" - Wema Isaac Sepetu,

NB; Sasa najiuliza., nani ambaye amewaambia/ametoa maelekezo kwa hao askari ambao Wema Sepetu anawataja kwamba "waishi nao vizuri" huko Lupango!? Huu mchezo wenu huu.., sawa, endeleeni "kuigiza hizi sinema zenu tu".., NINI MAONI YAKO!?
 
Mchawi wa mwanamke ni mwanamke, huyu Kimambi ni very stupid, sijawahi kumsoma mtu mtandaoni as stupid as Mange. Baada ya audio ya wema, yeye kaona the best place ni kuirusha online, asijue anamfunga mwenzake kirahisi.

As for Wema, brainless!!!
 
Mtoa mada unadunda dunda kama tenesi...sema ueleweke ...kwani mmi kutembea na masogange inahusiana na nini na wewe kibaka chakarufu,shimbwazi unaeua wadpgo zetu?kanjara mwatu kisuku mkubwa unauza bangi na kuuza madawa utaozea jera...na bado
 
Back
Top Bottom