Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Na kama jee ushahidi upo kuwa Makonda na muuza madawa na mbebaji Masogange ni wapenzi na ni kweli Kampangishia nyumba ya kuishi itakuwaje? Nyie mnaona kama kashfa hii ni ndogo, lakini ni kubwa mno kwa kiongozi.Huyu Wema anaweza kuwa sio muuzaji tu baki mtumiaji. Anashindwa kujua madhara ya kumtuhumu Makonda kuwa anatembea na Masogange! Hiyo ni kesi ya defamation, Wema ana hela za kumlipa Makonda kwa kashfa anayomtuhumu?
Vv
Kwanza hapo kuna suala la usaliti wa ndoa ya Makonda pili ushirika wa kimahaba wa kiongozi mpiga vita madawa ya kulevya na mbebaji mkuu wa madawa nayo ni kashfa ya kumpasa kujiuzulu.
Hivi kwa mfano ziibuliwe habari kuwa Waziri wa Maliasili Maghembe anayesimamia vita ya ujangili yule mama wa Kichina Malkia wa pembe ni mchepuko wake tutamuamini tena Maghembe?