mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Mimi napita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu maana hii nchi noma sana halafu mbona wanamwandama wema tu hao wengine mbona hatusikii?mkuu mi nime angalia you tube baadae nikaenda history nikafuta kabisa you tube history kwenye simu yangu .
Hawakawiii kusema na wale walio angalia kwenye you tube mnakamatwa .
Utii wa sheria bila shuruti
"Ukipokea ujumbe wa matusi futa kabisa ""
Kwel mkuu mm ingawa sio shabiki yake Wema lakini kwa nini wamuandame yeye tu. Jamani tusipende watu wengine waonewe bila kosa.Kweli mkuu maana hii nchi noma sana halafu mbona wanamwandama wema tu hao wengine mbona hatusikii?
Huu msemo Wagosi kule Lushoto wanautumia sana.Wanasema thamani ya kondoo ni mkia na uzuri wa nyumba choo mkuu.
mkuu kifupi hawa wasanii ni makocha , wana team zao humu kwa hiyo subiri waje ([HASHTAG]#teamwema[/HASHTAG] watakujibu)Kweli mkuu maana hii nchi noma sana halafu mbona wanamwandama wema tu hao wengine mbona hatusikii?
Ndio uomeona mkuuHii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
warumi kwa umbeya hujamboMmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
HATA KAMA ANATEMBEA NAYE NDIO KUTAFUTA TUHUMA ZAKE......? asimshambulie mtu akifikiri itasaidia zaidi ya kumuangamiza HII NI AWAMU YA TANO ,HII NAMBA TUTAISOMA WOOOTE WALIOPEWA HELA NA KUIPIGIA DEBE CCM , NA WALE WALIOKUWA WAKISHANGAA SHANGAA KUNDI KUBWA LA WASANII KUUKIMBIA UPINZANI.......!!Naona huyu Mwanamke anachanganyikiwa Yaani anajipa kesi Mara Mbili... Analeta Mambo ya Kiswahili kwenye Sheria..
Unajua unaporopoka mbele za Watu jua kuwa umejiamini km Tindu lissu kwanza Ndo uropoke.. hapo Tayari Ana kesi ya Kumtuhumu na kumdharirisha RC makonda na Pia Agnes Masogange.. kama Huna ushahidi Wa Kutosha haki ya nani Kama ulikuwa unaenda samehewa Wa Tuhuma za Madawa basi sahau unaenda kuwa chakula Cha Mafande...
Unaleta Vita na Agnes Aliyebeba Unga Akapita Airport Na Bado Tukaambiwa Si Madawa ya kulevya. unadhan ulivyoropoka RC anatembea Naye Ndo Utapata ushahidi wa kutosha ... Labda Uwe na Video za Kutosha Kwenye Makablasha yako upeleke mahakama...
MAMBO MENGINE HAYATAKI UJUAJI KAA TU KIMYA
Deepushuru wa rizila si unachukuliwa acha na bangi ivutwe