Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

basi mtu ununue hizo zote tuu.

Kuna hiyo ya senstitive teeth nilinunua,jino lilikuwa linauma aisee lilitoboka basi kila nikitumia jino linapoa,mpaka leo haliumi na sijaziba wala nini
 
Hiyo ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ndo tsh ngapi boss?
 
basi mtu ununue hizo zote tuu.

Kuna hiyo ya senstitive teeth nilinunua,jino lilikuwa linauma aisee lilitoboka basi kila nikitumia jino linapoa,mpaka leo haliumi na sijaziba wala nini
Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.

Sjawahi kung'oa jino lolote mdomoni mwangu kwa umri wote huu over 30s.
 
Poleh sana
Huwa unasugua ulimi?.
 
Natumia Colgate ama ile ya Forever

Na Mouthwash ya Mint ya Colgate

I brush twice a day
Jioni hata bila dawa
Nasukutua kila baada ya mlo na najitajidi kunywa maji mengi
 
Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.

Sjawahi kung'oa jino lolote mdomoni mwangu kwa umri wote huu over 30s.
Naomba picha yake, make zote zimeandikwa for sensitive teeth.
 
Wananunua kwa wamachinga hao.

SENSODYNE kanunue duka la Dawa linaloaminika

Waje niwauzie siyo copy za Dubai

Ila mi natumia
Haina sukari kabisa

Imenisaidia mno nilishatoa Meno mawili kabla ya kuijua
Halafu ni Bei nafuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…