new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao makopo kama manne hivi nimeshamaliza kopo Moja na ni wiki Sasa ila sioni bado mabadiliko YOYOTE.
Nimeanza kupata shaka kama KWELI zile DAWA Zina ufanisi na zinauzwa gharama KWELI KWELI karibu laki na nusu nimetumia. Msaada kwenu wana JF, Kwa aliewahi kuzitumia au mwenye maarifa nazo, Je hizi DAWA ni TIBA KWELI ya nguvu za kiume au ni ulaghai tu???.