new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
MUULIZE DIARA WA ESPER ATAKWAMBIA MKUU LEO IMEFANYA KAZIHabari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao makopo kama manne hivi nimeshamaliza kopo Moja na ni wiki Sasa ila sioni bado mabadiliko YOYOTE.
Nimeanza kupata shaka kama KWELI zile DAWA Zina ufanisi na zinauzwa gharama KWELI KWELI karibu laki na nusu nimetumia. Msaada kwenu wana JF, Kwa aliewahi kuzitumia au mwenye maarifa nazo, Je hizi DAWA ni TIBA KWELI ya nguvu za kiume au ni ulaghai tu???.
MKUUU POLE GAPO JUU NILITAKA KUWAUMIZA KIDOGO WANA WEKUNDUHabari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao makopo kama manne hivi nimeshamaliza kopo Moja na ni wiki Sasa ila sioni bado mabadiliko YOYOTE.
Nimeanza kupata shaka kama KWELI zile DAWA Zina ufanisi na zinauzwa gharama KWELI KWELI karibu laki na nusu nimetumia. Msaada kwenu wana JF, Kwa aliewahi kuzitumia au mwenye maarifa nazo, Je hizi DAWA ni TIBA KWELI ya nguvu za kiume au ni ulaghai tu???.
Dawa yoyote inayouzwa na Hawa wanaojiita sanitarium clinic ambao asilimia kubwa ni wasabato waenyeji wa musoma ni matapeli wakubwa. Kwenye dini Yao Kuna mavitabu ya magonjwa yanaitwa leson Sasa hukariro sign za magonjwa na kutengeneza ma juice kudanganyoa watu. Epuka Sana tena wale wale wenye ki computer wanakudanganya ni mashine ya kupima mwili nzima ni utapeli ulioanzishwa huko kenyaHabari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao makopo kama manne hivi nimeshamaliza kopo Moja na ni wiki Sasa ila sioni bado mabadiliko YOYOTE.
Nimeanza kupata shaka kama KWELI zile DAWA Zina ufanisi na zinauzwa gharama KWELI KWELI karibu laki na nusu nimetumia. Msaada kwenu wana JF, Kwa aliewahi kuzitumia au mwenye maarifa nazo, Je hizi DAWA ni TIBA KWELI ya nguvu za kiume au ni ulaghai tu???.
Duuh!CHUKUA YAI PASUA KWA KIKOMBE
WEKA KOKAKOLAAA KIDOGOOOO
WEKA NA MAZIWA YA MOTO KIDOGO
Ziache, nenda sokoni, nunua mdalasini wa unga, vitunguu swaumu vya unga, tangawizi ya unga, uwatu wa unga, manjano, black seed oil na asali, changanya vyote pamoja upate mchanganyiko mzito, kula kijiko kimoja kila siku asubuhi, na usile kitu mpaka mchana, fanya hivyo kwa siku 14 tu mfululizo, huo mchanganyiko utabaki utatumia siku zijazo, then njoo hapa unipe feedback. Good luck.Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.