Sijui hili haliwahusu. Mbona sipati jibi?Tangu december nimekuwa nikipata bill sizielewi elewi. Lakini kwa kawaida bill ina range 15,000 - 25/30,000 kulingana na watu ninaoishi nao ndani. Sasa nashangaa leo nimeletewa bill 79,000? tena watu wamepungua sana kwangu kwa lipi? namba ni 90071710 KAwe
Tusaidie Ac yako pamoja na mawasiliano yako tuweze kuweka kwenye system
Na mie nindo shid yangu hii. units tofauti na meter reading. nimeandika hapa no response. Nimewapigia hawajaleta mhakiki.Nawapongeza Dawasco kwa kazi kubwa , kuna mabadiliko ktk utendaji ila kuna mambo ya kuboresha mengi kadiri ya maoni mbalimbali ya wadau .
Mimi langu ni kuhusu bills za maji . Inavyoelekea wasoma mita hawazungukii wateja wote kusoma mita ; matokeo yake sasa :-
1 . Units zinazokuja kutumwa ni nyingi kuliko zilizo ktk mita .
Madhara yake ni mateso ya kisaikolojia kwa mteja na mteja ana uwezo akiamua kuwashitaki kwa usumbufu .
2 . Mteja anaweza kukatiwa maji kwa ankara isiyo halisi na kumletea usumbufu.
3 . Inampotezea muda mteja kuja ofisini kwenu kuripoti kosa lilelile lisilofanyiwa kazi na linalojirudia.
Mara kadhaa nimefika ofisini kwenu kuripoti huu usumbufu bila mafanikio na mwezi huu mmerudia kosa lile lile . Kama hamtajirekebisha nitajiaandaa kuchukua hatua za kisheria na nitahakikisha haki inapatikana hata kama itachukua muda mrefu . Najua wenye kesi kama yangu ni wengi na hao nd'o watakuwa mashahidi muhimu mahakamani
Inawezekana kuna leakage ndani ya mfumo wako wa Maji hivyo kupelekea upotevu mkubwa wa Maji na bili kubwaSijui hili haliwahusu. Mbona sipati jibi?
Bila mita kusoma hivyo? leakage kabla ya mita? Maana last reading mita ilisoma unit 811, next bill naambiwa nimetumia 49 units lakini mita inasoma 825?????? Anyway, naona baada ya kupigiwa simu wamerekebisha nimeletewa bill nyingine. Naomba mrudishe utaratibu wa kusema last meter reading zilikuwa units ngapi. Inasaidia sana kutobambikiwa bill.Inawezekana kuna leakage ndani ya mfumo wako wa Maji hivyo kupelekea upotevu mkubwa wa Maji na bili kubwa