Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi malipo ni bei ganiYaani dawsco .. control number wamenpa nikalipa kuunganishiwa maji toka April 2022 Hadi Leo hakuna kitu ukiuliza eti vifaa hakuna
Hahahahaaaa!!!jamani ingawa kuna watu hawapendi kulinganisha tawala
ukweli unaonekana
sasa hivi wanakata mtaani bila hata taarifa na mnaweza kukaa wiki na zaidi
halafu yanakuja kutoka usiku saa tano
Mama yenu ana kazi ya ziada
Tunarudi tulikotoka. Hii nchi ni ya ajabu sana. Nchi nyengine zinapambana kwenda mbele sisi tunapambana kurudi nyuma.Njooni Mbopo mtoe mabomba na mita zenu. Mnaweka halafu maji hakuna? Kutwa kutuhimiza tulipe bila kuona hats huduma yenyewe. Tuko tunajichanga tulete mwandishi was habari ili hii habari iende duniani. Eng na team yako kwenye vikao mkichanwa live kuwa ni mradi was porojo unakuwa mkali. Tazama ulisema nini na kinatokea nini? Aubirini mtashuhudia kwenye Medea na wachina wenu kutwa kuzunguka kwenye mitaa ya mbopo huduma hakuna. Tutawafurahisha soon
Nadhani Ni wakati muafaka Luhemeja angepumzishwa.Tunarudi tulikotoka. Hii nchi ni ya ajabu sana. Nchi nyengine zinapambana kwenda mbele sisi tunapambana kurudi nyuma.
Poleni na majukumu. Nasikitika kuwafahamisha kwamba wakazi wa Kibaha (Mgongelwa) Tanita hatuna maji leo ni siku ya kumi. Nimejaribu njia nyingi za mawasiliano (sijaendo ofisini kwenu) zimefeli.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani.
DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866
Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM
Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM
Tunashukuru kuwa baada ya kukosa maji katika eneo hili la Kwamgalula kwa zaidi ya wiki mbili, angalau siku za jumanne na jumatano tarehe 6 na 7 Septemba tulikumbukwa kwa kupatiwa maji ya mgao.Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM
Huku kwetu maji hayatoki kabisa hongera kwenu ambako yameanza kutokaTunashukuru kuwa baada ya kukosa maji katika eneo hili la Kwamgalula kwa zaidi ya wiki mbili, angalau siku za jumanne na jumatano tarehe 6 na 7 Septemba tulikumbukwa kwa kupatiwa maji ya mgao. Tunawaomba DAWASA, KIBAMBA mzingatie taratibu zenu nzuri za kuhakikisha wateja na wananchi kwa ujumla hawaathiriki sana kwa kukosa huduma kwa kipindi kirefu.
Afisa biashara Dawasco hapo tegeta. Jirekebishe unadharau kwa watejaDawasco dawasco mmenikwaza sana tokea niwaambie tatizo langu ...