DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

Uku kwetu tuna wiki hakuna maji, raia tukajua pump imezingua, kufatilia tunaambiwa luku imeisha,
 
Habari, Changamoto yangu kuambiwa nadaiwa wakati Sina Deni nilishaenda boko zaidi ya Mara 3 wameniambia kweli Sina na watafuta cha ajabu toka 2016 wamenipuuza mpaka leo[emoji19] account namba 90117630 hakuna kitu kinachonikera kuambiwa Deni lako ni 75000 wakati sidaiwi na mita imeingia ukungu namba hazisomeki nashangaa sijui wanasoma vipi na Nina wasiwasi hua wanakadiria tu kunipa bili.
 
Hivi mmeamua kutufungulia maji usiku alafu kidogo sisi wakazi wa Kimara mwisho na mbezi?
 
Njooni Mbopo mtoe mabomba na mita zenu. Mnaweka halafu maji hakuna? Kutwa kutuhimiza tulipe bila kuona hats huduma yenyewe.

Tuko tunajichanga tulete mwandishi was habari ili hii habari iende duniani. Eng na team yako kwenye vikao mkichanwa live kuwa ni mradi was porojo unakuwa mkali. Tazama ulisema nini na kinatokea nini?

Aubirini mtashuhudia kwenye Medea na wachina wenu kutwa kuzunguka kwenye mitaa ya mbopo huduma hakuna. Tutawafurahisha soon
 
jamani ingawa kuna watu hawapendi kulinganisha tawala
ukweli unaonekana

sasa hivi wanakata mtaani bila hata taarifa na mnaweza kukaa wiki na zaidi

halafu yanakuja kutoka usiku saa tano

Mama yenu ana kazi ya ziada
Hahahahaaaa!!!
 
Tunarudi tulikotoka. Hii nchi ni ya ajabu sana. Nchi nyengine zinapambana kwenda mbele sisi tunapambana kurudi nyuma.
 
Tunarudi tulikotoka. Hii nchi ni ya ajabu sana. Nchi nyengine zinapambana kwenda mbele sisi tunapambana kurudi nyuma.
Nadhani Ni wakati muafaka Luhemeja angepumzishwa.
Alifanya kazi nzuri lakini amemaliza ubunifu wake. Amechoka kwa kweli.
 
Eti ndg afisa habari wa DAWASA, taasisi yenu inatoa huduma kama kuwaunganisha, kuwakatia, kudai bill za maji nk, mna kauli yenu tone la maji... 'sijui ni nini'.

Swali, maji gani mnayohusika nayo;
1. Yaliyopo mbele ya baada ya mita ya mteja au?.
2. Kwa nini hampendi kusima mita mteja akiwepo ili ajiridhishe?
 
Hivi hawa wanatuonaje watu wa humu?

โ€ŠWanatuona as if ni watoto wadogo maana heading inasema โ€œTOA MAONI,USHAURI MALALAMIKOโ€ watu wanapoteza muda wao kuandika humu ila hawajibiwi kama wameeleweka ama vipi!

Mods toeni huu uzi hauna manufaa yoyote.
 
Poleni na majukumu. Nasikitika kuwafahamisha kwamba wakazi wa Kibaha (Mgongelwa) Tanita hatuna maji leo ni siku ya kumi. Nimejaribu njia nyingi za mawasiliano (sijaendo ofisini kwenu) zimefeli.

Aidha simu hazipatikani au zinaita bila ya kupokelewa. Hali ni mbaya na inaelekea kuwa mbaya zaidi. Tupeni mwelekeo au tumgeukie nani tupate ufumbuzi.
 
Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM
 
Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM

Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM

Hali ni hivyo Mbezi ya Kimara, mtaa wa Mshikamano, Kwamgalula B. Karibia wiki 2 hakuna maji pamoja na mgao uliopo lakini tumesahaulika. Eneo liko chini ya DAWASA KIBAMBA, DSM
Tunashukuru kuwa baada ya kukosa maji katika eneo hili la Kwamgalula kwa zaidi ya wiki mbili, angalau siku za jumanne na jumatano tarehe 6 na 7 Septemba tulikumbukwa kwa kupatiwa maji ya mgao.

Tunawaomba DAWASA, KIBAMBA mzingatie taratibu zenu nzuri za kuhakikisha wateja na wananchi kwa ujumla hawaathiriki sana kwa kukosa huduma kwa kipindi kirefu.
 
Maji hayatoki Kwembe Kona ya Samaki wiki limeisha hata tone tu la maji hakuna na hamjatoa taarifa yeyote
 
Huku kwetu maji hayatoki kabisa hongera kwenu ambako yameanza kutoka
 
Hapa ninapoishi tuna miezi mitano sasa bill ya maji haiji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ haya acha nitumie tu me si mpangaji bili ikija mi nikiwa nimeshahama atalipa atakaekuwepo.
 
๐Œ๐›๐จ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ž๐ž๐ค ๐ก๐ข๐ข ๐ฒ๐š๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐ข?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐‡๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ƒ๐€๐–๐€๐’๐€ ๐Œ๐ข๐ญ๐š ๐ฒ๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ข๐ง๐š ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ฐ๐š 2 ๐ง๐ข๐ฆ๐ž๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ ๐ง๐ข๐ฆ๐ž๐š๐ฆ๐›๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐ข๐ญ๐š๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฐ๐š ๐ฆ๐ข๐ญ๐š ๐ฅ๐š๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ฅ๐ž๐จ ๐›๐š๐๐จ.๐’๐ฐ๐š๐ฅ๐ข ๐ฆ๐ง๐š๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ฆ๐ญ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐ ๐š๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐ฆ๐ข๐ญ๐š ๐ณ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ? ๐ฌ๐ข๐ง๐š ๐ข๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ค๐ฐ๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐›๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ข๐ง๐š๐ณ๐จ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž๐ฐ๐š ๐ง๐š๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ง๐š๐ค๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ข๐ญ๐š ๐ก๐š๐ข๐จ๐ง๐ฒ๐ž๐ฌ๐ก๐ข ๐ง๐š๐ฆ๐›๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ค๐ข๐๐จ๐ ๐จ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ