RESOLVED DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo

RESOLVED DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi.
HIII.jpeg
DAWASA imeeleza “Changamoto hiyo tayari imefanyiwa kazi kikamilifu, pichani ni eneo la TANDAMTI TOWER, mafundi walipokuwa wakiendelea na majukumu yao.
WhatsApp Image 2026-09-03 at 11.40.48.jpeg
Hoja ya awali ~ Mitaa ya Kariakoo (Mkunguni, Tandamti, Sikukuu, Congo) maji taka ya chemba yamesambaa, si salama kwa afya
 
Vipi hapo kwenye reli kama unakuja kamata ukianzia pale kwenye stendi ya magari ya kisemvule mnapaonaje
 
Mvua zinazokuja zitatuumbua.
Nimeona billions zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua ila sioni juhudi za kuweka miundombinu ikiwekwa sawa.
 
Mvua zinazokuja zitatuumbua.
Nimeona billions zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua ila sioni juhudi za kuweka miundombinu ikiwekwa sawa.
Waweke miundombinu sawa kuiba wakaibe nini?
 
Back
Top Bottom