Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi.
DAWASA imeeleza “Changamoto hiyo tayari imefanyiwa kazi kikamilifu, pichani ni eneo la TANDAMTI TOWER, mafundi walipokuwa wakiendelea na majukumu yao.
Mvua zinazokuja zitatuumbua.
Nimeona billions zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua ila sioni juhudi za kuweka miundombinu ikiwekwa sawa.
Mvua zinazokuja zitatuumbua. Nimeona billions zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua ila sioni juhudi za kuweka miundombinu ikiwekwa sawa.