DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dawasa imetangaza kuanza mgao wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.

Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.

Chanzo: ITV habari
 
Dawasa imetangaza kuanza mgai wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.

Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.

Source: ITV habari
Mbezi juu Goba, mtaa wa maendeleo, maji tunayasikia redion. Tunawatakia heri ktk huo mgao 😎
 
Ni swala la muda tu,hata kwenye umeme kutakuwa na mgao.Vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu.

Mchele ulimantain bei kwa zaidi mwaka na miezi kadhaa bila kupanda,ila ndani ya hii miezi mitano unapanda ajabu,vitu vingi tu vinapaa, mara vifurushi, mara tozo, mara kodi kwenye luku😁.

Ngoja tuone hii miaka minne inaishaje maana ndo kwanza tuna miezi kadhaa.
 
Hata richmond tuliambiwa hivyo.
Nimecheki mazeee mazima ya Dar yanafurahia eti swa tabia ya inchi kweli kinachoniuma mie miaka 60 ya uhuru kweli magao wa maji hapna samia fukuza mbuzi hao wanakuharibia bi mkubwa Aweso Hatoshi halafu maziwa mito bahari tumezungukwa na kila kitu halafu jiji mashuhuri kama Dar? Kweli
 
Mie sitaki hiyo 'Katiba mpya' kwa kuwa itamaliza matatizo yote sasa mie ntalalamikia jambo gani?
Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotaka

Sisi ambao hatutaki kulalamika bila kuchukua hatua, tunapaza sauti kudai katiba mpya ambayo watawala wakileta zao wananchi watawawajibisha

We BADO unategemea huruma busara na hekinma ya watawala.

Akitokea mtawala kama yule kichaaa mwendakuzimu ni maumivu na kilio tu
 
Nimecheki mazeee mazima ya Dar yanafurahia eti swa tabia ya inchi kweli kinachoniuma mie miaka 60 ya uhuru kweli magao wa maji hapna samia fukuza mbuzi hao wanakuharibia bi mkubwa Aweso Hatoshi halafu maziwa mito bahari tumezungukwa na kila kitu halafu jiji mashuhuri kama Dar ? Kweli
Halafu hii kasumba ya kutotaka SHH awe accountable kwa madudu yanayoendelea kwenywe serikali yake ni wa ajabu sana.

Kila kilitumwa kitu, "ooh Samia hajui hili kuna watu ndo wanafanya"

"Oooh SHH hamkutaka Mbowe akamatwe, kuna watu ndo wamefanya mpango"

"Oooh kuna sukima gang😁"

Hivi inamaana SHH yupo pale kama bosheni? Ni ipi nafasi yake kama Rais,ikiwa kila kitu yeye hahusiki nacho?

NB; UKICHUNGUZA SANA KUHUSU HII TABIA,utagundua ni kujipendekeza tu, kama anakosea wacha awe accountable, maana hata kukimbia hao wanaomkwamisha bado ni ishara ya uzembe.
 
Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotaka

sisi ambao hatutaki kulalamika bila kuchukua hatua, tunapaza sauti kudai katiba mpya ambayo watawala wakileta zao wananchi watawawajibisha

we BADO unategemea huruma busara na hekinma ya watawala.

akitokea mtawala kama yule kichaaa mwendakuzimu ni maumivu na kilio tu


Unawajua Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi Znz wanapatikanaje hadi Rais wa Znz kuitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi?
 
Back
Top Bottom