SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Utakuwa jirani yangu wewe. Karibu na ENGEN Petrol StationMbezi juu Goba, mtaa wa maendeleo, maji tunayasikia redion. Tunawatakia heri ktk huo mgao 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa jirani yangu wewe. Karibu na ENGEN Petrol StationMbezi juu Goba, mtaa wa maendeleo, maji tunayasikia redion. Tunawatakia heri ktk huo mgao 😎
Mbona mgao huo upo kimya kimya?!Watangaze na mgao wa umeme
8 tu.Kuna watu wapuuzi sana, yani kila baya linalotokea wana-assume kama bila SHH hahusiki nalo.Hivi inakuwaje unakuwa Rais alafu mambo fulani yatokee bila ridhaa yake na bado akae kimya?
Kwamfano, kuna watu mpaka leo wanaamini eti Mbowe yupo pale kwasababu ya Sirro eti mama (wanavyomuita) hafurahishwi na hiyo kesi, Who is Sirro?? Aiseeeh, huu unafiki huwa unanishangaza sana.
Swala la tozo eti SHH hajui, Mwigulu ndo amelazimisha😁
Vifurushi kupanda SHH hajui, kuna watu ndo wanamkwamisha😁.
Mgao wa maji SSH hajui,Aweso ndo anamkwamisha sasa sijui hapo nyuma ambapo hakukuwa na mgao kulikuwa waziri mwingine tofauti na Aweso?
Swala la mitambo ya umeme kusumbua, SHH anakwamishwa.
Hii miaka minne haitakuwa ya kawaida, huu ni mwezi wa
Hahahaaaa....... Hata Awesu atasafisha!Magu angesafisha maji ya bahari tungetumia.
Usisahau na ada mashuleni zimerejeshwaNi swala la muda tu,hata kwenye umeme kutakuwa na mgao.Vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu.
Mchele ulimantain bei kwa zaidi mwaka na miezi kadhaa bila kupanda,ila ndani ya hii miezi mitano unapanda ajabu,vitu vingi tu vinapaa, mara vifurushi,mara tozo, mara kodi kwenye luku😁.
Ngoja tuone hii miaka minne inaishaje maana ndo kwanza tuna miezi kadhaa.
Absolutely. You have nailed it!Halafu hii kasumba ya kutotaka SHH awe accountable kwa madudu yanayoendelea kwenywe serikali yake ni wa ajabu sana.
Kila kilitumwa kitu, "ooh Samia hajui hili kuna watu ndo wanafanya"
"Oooh SHH hamkutaka Mbowe akamatwe, kuna watu ndo wamefanya mpango"
"Oooh kuna sukima gang😁"
Hivi inamaana SHH yupo pale kama bosheni? Ni ipi nafasi yake kama Rais,ikiwa kila kitu yeye hahusiki nacho?
NB; UKICHUNGUZA SANA KUHUSU HII TABIA,utagundua ni kujipendekeza tu, kama anakosea wacha awe accountable, maana hata kukimbia hao wanaomkwamisha bado ni ishara ya uzembe.
Hahahaaaa umeona mbali sana... Najiuliza kwamba kwa hili jua na uhaba mkubwa wa mvua unaotabiriwa mwakani, si tutarudi kwenye mambo ya Richmond?? Haya huku kwenye maji yaani miaka na miaka wameshauriwa kujenga bwawa la maji la Vidunda lenye uwezo wa kuhifadhi maji ya kutosha Dar na Pwani yote wamegoma ngoja tuone.Kuna mazingira yanatengenezwa. Hawa wahuni hawaaminiki.
Hivi itawachukua miaka mingapi mpaka muache kufanya references kwa jiwe na muanze ku deal na reality?Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme
Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Nikweli,hila tulisikia habari za watu kutekwa,kuuliwa, kupigwa risasi , kufungwa vyombo vya habari kila kukicha,maiti kwenye viroba, etcWakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme
Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Acha uongo,mchele na unga tangu aingie Samia Bei imeshuka Sana,Ni swala la muda tu,hata kwenye umeme kutakuwa na mgao.Vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu.
Mchele ulimantain bei kwa zaidi mwaka na miezi kadhaa bila kupanda,ila ndani ya hii miezi mitano unapanda ajabu,vitu vingi tu vinapaa, mara vifurushi,mara tozo, mara kodi kwenye luku😁.
Ngoja tuone hii miaka minne inaishaje maana ndo kwanza tuna miezi kadhaa.
Wewe utakuwa ni mzee wa kupikiwa,manunuzi anafanya shemeji yako ndomaana unabisha nakusema eti unenunua mchele juzi😁.Acha uongo,mchele na unga tangu aingie Samia Bei imeshuka Sana,
Juzi nimenunua kg 50 kwa elfu sitini tu mchele,
Na unga wakati wa Magufuli kg moja ilifikia 1500,sasaivi kg ya sembe Ni elfu moja tu
Kwa style hii ni halali unite muongo.Nikweli,hila tulisikia habari za watu kutekwa,kuuliwa, kupigwa risasi , kufungwa vyombo vya habari kila kukicha,maiti kwenye viroba, etc
Na kauli chafu Kama"ntapiga had shangazi zenu huko Ruangwa , na Bakini na mavi yenu,
Hakika yule msukuma hakufaa kuwa kiongozi, Hana hotuba hata moja ambayo ina mvuto kiasi Cha kuweza kuisikiliza na ukaongeza kitu kichwani....
Twende na Samia Hadi 2035
Mmmh sikuwa najua hili😳.Usisahau na ada mashuleni zimerejeshwa
Dogo mi nna duka la jumla pia la nafaka nnachosema nakifahamu,Wewe utakuwa ni mzee wa kupikiwa,manunuzi anafanya shemeji yako ndomaana unabisha nakusema eti unenunua mchele juzi😁.
Yani ni wewe peke yako tu unaeona kuwa tangu SHH ameingia bei ya vitu umeshuka sio? Ungekuwa unahusika na bills za vitu mbalimbali ungejua ni jinsi gani vitu vimepanda.
Kwa muda mrefu sana (mwaka n'a miezi kadhaa) mchele ulikuwa ni 1000-1200 kwa kg 1, mchele unapelekwa Kenya sasa hivi mchele unakimbilia 1500/= kwenye soko la ndani, na kwakua mwaka huu mvua hakuna tutegemee kuona ukifika mpaka 2000 kwa kg.
Vipi na mafuta(petrol na Diesel) nayo ni uongo?
Wewe imba mapambio tu humu, maana mvulana hawezi kuelewa wanachozungumza wanaume.Dogo mi nna duka la jumla pia la nafaka nnachosema nakifahamu,
Mchele upo wa , Tsh 1100,1200,1300, 1500,1700,2000
Unga rejareje kg pia Ni Tsh . 1000/=
Muulize wifi yako akuambie Bei binti
Umenunua mchele wa vitumbua!Acha uongo,mchele na unga tangu aingie Samia Bei imeshuka Sana,
Juzi nimenunua kg 50 kwa elfu sitini tu mchele,
Na unga wakati wa Magufuli kg moja ilifikia 1500,sasaivi kg ya sembe Ni elfu moja tu