Kuna watu wapuuzi sana, yani kila baya linalotokea wana-assume kama bila SHH hahusiki nalo.Hivi inakuwaje unakuwa Rais alafu mambo fulani yatokee bila ridhaa yake na bado akae kimya?
Kwamfano, kuna watu mpaka leo wanaamini eti Mbowe yupo pale kwasababu ya Sirro eti mama (wanavyomuita) hafurahishwi na hiyo kesi, Who is Sirro?? Aiseeeh, huu unafiki huwa unanishangaza sana.
Swala la tozo eti SHH hajui, Mwigulu ndo amelazimisha[emoji16]
Vifurushi kupanda SHH hajui, kuna watu ndo wanamkwamisha[emoji16].
Mgao wa maji SSH hajui,Aweso ndo anamkwamisha sasa sijui hapo nyuma ambapo hakukuwa na mgao kulikuwa waziri mwingine tofauti na Aweso?
Swala la mitambo ya umeme kusumbua, SHH anakwamishwa.
Hii miaka minne haitakuwa ya kawaida, huu ni mwezi wa