Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani umesahau JPM ni mungu?Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme
Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Hata viroba vyenye maiti ndani hatuvioni siku hizi, wala wasiojurikana hatujui wamepotelea wapi.