johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tabia nchi!Kuna mazingira yanatengenezwa.
Hata richmond tuliambiwa hivyo.Tabia nchi!
Mbezi juu Goba, mtaa wa maendeleo, maji tunayasikia redion. Tunawatakia heri ktk huo mgao 😎Dawasa imetangaza kuanza mgai wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.
Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.
Source: ITV habari
Kulalamika tu katiba mpya hamtakiWakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme
Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Kulalamika tu katiba mpya hamtaki
Nimecheki mazeee mazima ya Dar yanafurahia eti swa tabia ya inchi kweli kinachoniuma mie miaka 60 ya uhuru kweli magao wa maji hapna samia fukuza mbuzi hao wanakuharibia bi mkubwa Aweso Hatoshi halafu maziwa mito bahari tumezungukwa na kila kitu halafu jiji mashuhuri kama Dar? KweliHata richmond tuliambiwa hivyo.
Mwaka huu hakuna mvua za vuli joto la kufa MTU halafu kuwe hakuna maji.Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme
Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Kumbe swala ni kuitaka tu katiba kisha inakuja? Wewe umeitaka kwa muda gani? Iko wapi sasa.Kulalamika tu katiba mpya hamtaki
Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotakaMie sitaki hiyo 'Katiba mpya' kwa kuwa itamaliza matatizo yote sasa mie ntalalamikia jambo gani?
Halafu hii kasumba ya kutotaka SHH awe accountable kwa madudu yanayoendelea kwenywe serikali yake ni wa ajabu sana.Nimecheki mazeee mazima ya Dar yanafurahia eti swa tabia ya inchi kweli kinachoniuma mie miaka 60 ya uhuru kweli magao wa maji hapna samia fukuza mbuzi hao wanakuharibia bi mkubwa Aweso Hatoshi halafu maziwa mito bahari tumezungukwa na kila kitu halafu jiji mashuhuri kama Dar ? Kweli
Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotaka
sisi ambao hatutaki kulalamika bila kuchukua hatua, tunapaza sauti kudai katiba mpya ambayo watawala wakileta zao wananchi watawawajibisha
we BADO unategemea huruma busara na hekinma ya watawala.
akitokea mtawala kama yule kichaaa mwendakuzimu ni maumivu na kilio tu