Waambieni kwamba walete tu maana hata mgaeo wa bando tushauzoeaDawasa imetangaza kuanza mgai wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.
Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.
Source: ITV habari
Kweli mkuuu umeongea points sanaHalafu hii kasumba ya kutotaka SHH awe accountable kwa madudu yanayoendelea kwenywe serikali yake ni wa ajabu sana.
Kila kilitumwa kitu, "ooh Samia hajui hili kuna watu ndo wanafanya"
"Oooh SHH hamkutaka Mbowe akamatwe, kuna watu ndo wamefanya mpango"
"Oooh kuna sukima gang[emoji16]"
Hivi inamaana SHH yupo pale kama bosheni? Ni ipi nafasi yake kama Rais,ikiwa kila kitu yeye hahusiki nacho?
NB; UKICHUNGUZA SANA KUHUSU HII TABIA,utagundua ni kujipendekeza tu, kama anakosea wacha awe accountable, maana hata kukimbia hao wanaomkwamisha bado ni ishara ya uzembe.
Samia anatetewa sana cjui ni mwanamke?Halafu hii kasumba ya kutotaka SHH awe accountable kwa madudu yanayoendelea kwenywe serikali yake ni wa ajabu sana.
Kila kilitumwa kitu, "ooh Samia hajui hili kuna watu ndo wanafanya"
"Oooh SHH hamkutaka Mbowe akamatwe, kuna watu ndo wamefanya mpango"
"Oooh kuna sukima gang[emoji16]"
Hivi inamaana SHH yupo pale kama bosheni? Ni ipi nafasi yake kama Rais,ikiwa kila kitu yeye hahusiki nacho?
NB; UKICHUNGUZA SANA KUHUSU HII TABIA,utagundua ni kujipendekeza tu, kama anakosea wacha awe accountable, maana hata kukimbia hao wanaomkwamisha bado ni ishara ya uzembe.
Unaizungumzia hii nchi au?Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotaka
sisi ambao hatutaki kulalamika bila kuchukua hatua, tunapaza sauti kudai katiba mpya ambayo watawala wakileta zao wananchi watawawajibisha
we BADO unategemea huruma busara na hekinma ya watawala.
akitokea mtawala kama yule kichaaa mwendakuzimu ni maumivu na kilio tu
Aya bwana pohamba, ccm wanajua wananchi Hawana uwezo wa kukuwajibisha, wanafanya wanavyotaka
sisi ambao hatutaki kulalamika bila kuchukua hatua, tunapaza sauti kudai katiba mpya ambayo watawala wakileta zao wananchi watawawajibisha
we BADO unategemea huruma busara na hekinma ya watawala.
akitokea mtawala kama yule kichaaa mwendakuzimu ni maumivu na kilio tu
Kuna watu wapuuzi sana, yani kila baya linalotokea wana-assume kama bila SHH hahusiki nalo.Hivi inakuwaje unakuwa Rais alafu mambo fulani yatokee bila ridhaa yake na bado akae kimya?Samia anatetewa sana cjui ni mwanamke?
Alafu utawaskia ssh ametoa bil 2 za madarasaKuna watu wapuuzi sana, yani kila baya linalotokea wana-assume kama bila SHH hahusiki nalo.Hivi inakuwaje unakuwa Rais alafu mambo fulani yatokee bila ridhaa yake na bado akae kimya?
Kwamfano, kuna watu mpaka leo wanaamini eti Mbowe yupo pale kwasababu ya Sirro eti mama (wanavyomuita) hafurahishwi na hiyo kesi, Who is Sirro?? Aiseeeh, huu unafiki huwa unanishangaza sana.
Swala la tozo eti SHH hajui, Mwigulu ndo amelazimisha😁
Vifurushi kupanda SHH hajui, kuna watu ndo wanamkwamisha😁.
Mgao wa maji SSH hajui,Aweso ndo anamkwamisha sasa sijui hapo nyuma ambapo hakukuwa na mgao kulikuwa waziri mwingine tofauti na Aweso?
Swala la mitambo ya umeme kusumbua, SHH anakwamishwa.
Hii miaka minne haitakuwa ya kawaida, huu ni mwezi wa
Mkuuu ni watu wanaopend kujipendekezaKuna watu wapuuzi sana, yani kila baya linalotokea wana-assume kama bila SHH hahusiki nalo.Hivi inakuwaje unakuwa Rais alafu mambo fulani yatokee bila ridhaa yake na bado akae kimya?
Kwamfano, kuna watu mpaka leo wanaamini eti Mbowe yupo pale kwasababu ya Sirro eti mama (wanavyomuita) hafurahishwi na hiyo kesi, Who is Sirro?? Aiseeeh, huu unafiki huwa unanishangaza sana.
Swala la tozo eti SHH hajui, Mwigulu ndo amelazimisha[emoji16]
Vifurushi kupanda SHH hajui, kuna watu ndo wanamkwamisha[emoji16].
Mgao wa maji SSH hajui,Aweso ndo anamkwamisha sasa sijui hapo nyuma ambapo hakukuwa na mgao kulikuwa waziri mwingine tofauti na Aweso?
Swala la mitambo ya umeme kusumbua, SHH anakwamishwa.
Hii miaka minne haitakuwa ya kawaida, huu ni mwezi wa
Wap yanajengwa hewaniAlafu utawaskia ssh ametoa bil 2 za madarasa
Kwenye kazuri hawasemi kuwa kuna watu nyuma yake waliopanga kuyafanya hayo.Alafu utawaskia ssh ametoa bil 2 za madarasa
Ili ilete mantiki, wanatakiwa waseme kuwa yeye hana uwezo wa kuongoza hii nchii, kwahiyo hayo tunayoyaona ni matokeo ya maamzi ya watu wengine aliowakabidhi majukumu, hoja ambayo kidogo inaweza kuleta mantiki maana hangaya hajawahi kumaliza hata wiki bila safari.Mkuuu ni watu wanaopend kujipendekeza
Yote ulioyoyasema SSH Anajua kila kitu mifumuko ya bei yote anajua ni mjinga tu ndio anaejua kuwa SSH Hajui
Ngoja tuone maaana nafikiri kodi ya baiskel inarudi ss mpka leo TRA WAMEPOZ TU SI WANAJUA PESA ZA UVIKO ZIPO HAHA kweli bongo lala
Duuh..Dawasa imetangaza kuanza mgai wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.
Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.
Source: ITV habari
Dawasa imetangaza kuanza mgai wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake.
Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa.
Source: ITV habari
Huko wanatumia maji ya madimbwiKama jiji kubwa kama Dar kuna mgao wa maji sasa hali ikoje uko Mbugema, kipumbwi, Chigugu, Njengwa, Kinyatu n.k