DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

8 tu.
 
Usisahau na ada mashuleni zimerejeshwa
 
Absolutely. You have nailed it!
Tulipofika tuwe wakweli anyooshewe kidole yeye mwenyewe black and white,anaelewa kila kinachoendelea na ana briefings kila siku,tuache unafiki.
 
Kuna mazingira yanatengenezwa. Hawa wahuni hawaaminiki.
Hahahaaaa umeona mbali sana... Najiuliza kwamba kwa hili jua na uhaba mkubwa wa mvua unaotabiriwa mwakani, si tutarudi kwenye mambo ya Richmond?? Haya huku kwenye maji yaani miaka na miaka wameshauriwa kujenga bwawa la maji la Vidunda lenye uwezo wa kuhifadhi maji ya kutosha Dar na Pwani yote wamegoma ngoja tuone.
 
Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme

Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Nikweli,hila tulisikia habari za watu kutekwa,kuuliwa, kupigwa risasi , kufungwa vyombo vya habari kila kukicha,maiti kwenye viroba, etc

Na kauli chafu Kama"ntapiga had shangazi zenu huko Ruangwa , na Bakini na mavi yenu,

Hakika yule msukuma hakufaa kuwa kiongozi, Hana hotuba hata moja ambayo ina mvuto kiasi Cha kuweza kuisikiliza na ukaongeza kitu kichwani....

Twende na Samia Hadi 2035
 
Acha uongo,mchele na unga tangu aingie Samia Bei imeshuka Sana,

Juzi nimenunua kg 50 kwa elfu sitini tu mchele,

Na unga wakati wa Magufuli kg moja ilifikia 1500,sasaivi kg ya sembe Ni elfu moja tu
 
Tusiogope sana na kulaumu bali tusali na kunia yaliyo mema mvua itanyesha tena
 
Acha uongo,mchele na unga tangu aingie Samia Bei imeshuka Sana,

Juzi nimenunua kg 50 kwa elfu sitini tu mchele,

Na unga wakati wa Magufuli kg moja ilifikia 1500,sasaivi kg ya sembe Ni elfu moja tu
Wewe utakuwa ni mzee wa kupikiwa,manunuzi anafanya shemeji yako ndomaana unabisha nakusema eti unenunua mchele juzi😁.

Yani ni wewe peke yako tu unaeona kuwa tangu SHH ameingia bei ya vitu umeshuka sio? Ungekuwa unahusika na bills za vitu mbalimbali ungejua ni jinsi gani vitu vimepanda.

Kwa muda mrefu sana (mwaka n'a miezi kadhaa) mchele ulikuwa ni 1000-1200 kwa kg 1, mchele unapelekwa Kenya sasa hivi mchele unakimbilia 1500/= kwenye soko la ndani, na kwakua mwaka huu mvua hakuna tutegemee kuona ukifika mpaka 2000 kwa kg.

Vipi na mafuta(petrol na Diesel) nayo ni uongo?
 
Kwa style hii ni halali unite muongo.

Haya mkuu vitu havijapanda bei,ndo kwanza vinashuka kila siku😁.

Nenda na mamako Mpaka hiyo 2035
 
Dogo mi nna duka la jumla pia la nafaka nnachosema nakifahamu,

Mchele upo wa , Tsh 1100,1200,1300, 1500,1700,2000

Unga rejareje kg pia Ni Tsh . 1000/=

Muulize wifi yako akuambie Bei binti
 
Dogo mi nna duka la jumla pia la nafaka nnachosema nakifahamu,

Mchele upo wa , Tsh 1100,1200,1300, 1500,1700,2000

Unga rejareje kg pia Ni Tsh . 1000/=

Muulize wifi yako akuambie Bei binti
Wewe imba mapambio tu humu, maana mvulana hawezi kuelewa wanachozungumza wanaume.

Siku ukiacha kuishi kwa kutegemea kitobo cha dadako kwa shemejiyo, utaanza kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…