DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme

Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana
Kwani umesahau JPM ni mungu?

Hata viroba vyenye maiti ndani hatuvioni siku hizi, wala wasiojurikana hatujui wamepotelea wapi.
 
Kwani umesahau JPM ni mungu?

Hata viroba vyenye maiti ndani hatuvioni siku hizi, wala wasiojurikana hatujui wamepotelea wapi.
Viroba kwenye maiti aliifata familia yako? Waliopitia hayo maseke seke ni sababu aidha walikuwa waalifu ama hawakutaka kutii mamlaka!
 
Wajenge mabwawa kwenye hiyo mito
 
Kwenye Njaa na nzige em rudi tena kwenye kumbu kumbu zako
Nzige wadaiwa kuingia Tanzania na Uganda - BBC News Swahili na Rais Magufuli: Tumieni mvua na barabara kujipatia kipato - BBC News Swahili (zingatia tarehe)
 
Hahahaaaa.......mchele kilo 50 sh 60,000?

Huo ni mchele wa wachoma vitumbua fullstop.
Huyu Black belts ni mpuuzi tu, mimi namambia mchele umepanda bei yeye analeta habari za eti mchele umeshuka sana tangu SSH aingie madarakani.

Aliposema kwamba juzi alinunua 50Kg za mchele kwa 60000 tsh, nikajua kabisa kuwa yeye ni "kula-kulala" kwa shemejiye ,maana kama angekuwa anahudumia familia asingeongea upumbavu huo.
 
Sasa hivi ile nyumba nyeupe haikaliki wa kulalika, anatamani hata ihamie nyumbani kwake ila anaona haiwezekani kukwepa miaka yote, kajaribu matambiko kafeli,solution aliyoshauriwa kuhakikisha anatafuta visafari vya kila siku ndani ya miaka yote minne ili angalau awe ana-refresh.

Mpaka waje walitatue hilo tatizo, atakuwa amekuwa-frustarated sana.
 
Wakati wa JPM hatukusikia Mgao wa maji wala wa Umeme

Mpango mkakati wa kufufua IPTL na Symbion umeanzia mbali sana

Ulikuwepo mkuu acha mahaba niue!!

Hapa ulipokatika zaidi ya masaa 20 ilikuwa awamu ya nyokho?


Hapa mdau analalamika mgao wa umeme,je hii awamu ya nani?








 
Tafadhali serikali, msitufikishe huko tena.
 
Yani jamaa wanakera hawa khaa! Mbona mimi na wewe hatujafa kama kweli Magu alikuwa anaua watu?
Ukiingilia interests za watu lazma udhurike, ukiiba, ukifanya kitu chochote kibaya lazma utalipia tu!
 
Tena miaka michache iliyopita nilipita njia ya kuelekea matombo kutokea mji wa morogoro ilikuwa na bwawa linajengwa ikasemekana ni ili kuhakikisha maji hayapungui mto ruvu. Ni kweli au bado halijakamilika. Wanaofahamu watujuze ni miaka zaidi ya 5 sasa au zaidi nilipoona ujenzi huo.
 
Kwenye kazuri hawasemi kuwa kuna watu nyuma yake waliopanga kuyafanya hayo.

Nafikiri wanafanya hivyo ili kujipendekeza,tena sikuizi huku Jf ndo wamejaa.
Unafiki nilikuwa naujua kumbe kidogo, hiki kipindi nimeona ajabu nyingi na viwango vya unafiki, first class

Na ukiwaza sana bora ufanye yako tu, maana moyo unajaa uchungu uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…