Hivi michoro ya kale si Kondoa boss?
Kwa Iringa panaitwa je?
Sio msimu wa ulanzi. Hutawakuta wengi sana..Nduli hii hii ya airport? Kuna nini mkuu?
Kwa ulevi Iringa iko juu, si ajabu kuona mabinti wadogo wapo klabuni alfajiri haha
Hii iko upande gani wa mji. Kuna tozo zozote za kuingia?Sijui lolote kuhusu huo mkoa.
Kalenga umefika Mkwawa museum pia jaribuHuko tayari, hata sasa niko Gangilonga
Nilikuwa nikitoka huko naenda Mwembechai Kihesa au Umoja wa akina mama,Mlimani Park na Ubena Ipogolo.I looove the place!πWEWE WA NYUMBANI WEWE
Pia tuna Kaburi la Nyundo pale Lugano ambapo Mtwa Mkwawa aliwaua wajerumani bila kusahau Ruaha National Park. Pia kuna Jiwe la Pale Gangilonga asisahau kwenda.1. Historical sites: Kalenga (fuvu la Mkwawa), ipo karibia km 20 kutokea town na Isimila Stone Ages, almost 20-25 km.
Wahehe kawaida yao ndomaana wakinga wanawapiga baoMkoa huu imebarikiwa sana, tatizo wazawa wamelala fofofo
Ni hapo Liwale tuHapana ! Liwale
Ukiwa na ndugu yako Kifyasi sio?ππππNilikuwa nikitoka huko naenda Mwembechai Kihesa au Umoja wa akina mama,Mlimani Park na Ubena Ipogolo.I looove the place!π
Usikose kutembelea alipojiteka Rondo.Kuna comment naisubiri.
Kaenda June. Unategemea nini? Ikifika saa 12 mji unalala.Nilikuwa huko juzi tu, though nilienda kikazi
Kwakuwa unaenda kwaajili ya ku-have funny hopefully utakuwa na muda mzuri wa kufurahia
Binafsi ile baridi imenikimbiza, maana inagonga hadi kwenye mifupa π
Aende kwa Bonge,Jamila,Nuru au hata Winnie.Nenda pale CCM kuna mabanda ya kitimoto.
Aisee ile baridi ni shida, nimewauliza wenyeji wanasema wameizoea πKaenda June. Unategemea nini? Ikifika saa 12 mji unalala.
Kifyasi tulikuwa tunaishia Ilala kwa Mlyuka tu ingawa yeye alikuwa mkarismatiki.Ukiwa na ndugu yako Kifyasi sio?ππππ