Day Trip Iringa

Day Trip Iringa

Hivi michoro ya kale si Kondoa boss?
Kwa Iringa panaitwa je?

Kuna sites mbili, hiyo ya Kondoa na mingine ipo Iringa Isimila...

Ukiwa unatoka Iringa kwenda Tanangozi, site ipo upande wa kushoto hata ukiwa barabarani unaiona kwa mbali...
 
Nilikuwa huko juzi tu, though nilienda kikazi

Kwakuwa unaenda kwaajili ya ku-have funny hopefully utakuwa na muda mzuri wa kufurahia

Binafsi ile baridi imenikimbiza, maana inagonga hadi kwenye mifupa 🙌
 
Nduli hii hii ya airport? Kuna nini mkuu?
Kwa ulevi Iringa iko juu, si ajabu kuona mabinti wadogo wapo klabuni alfajiri haha
Sio msimu wa ulanzi. Hutawakuta wengi sana..
 
Kuna sites mbili, hiyo ya Kondoa na mingine ipo Iringa Isimila...

Ukiwa unatoka Iringa kwenda Tanangozi, site ipo upande wa kushoto hata ukiwa barabarani unaiona kwa mbali...
Nitafuatilia hili mkuu
 
1. Historical sites: Kalenga (fuvu la Mkwawa), ipo karibia km 20 kutokea town na Isimila Stone Ages, almost 20-25 km.
Pia tuna Kaburi la Nyundo pale Lugano ambapo Mtwa Mkwawa aliwaua wajerumani bila kusahau Ruaha National Park. Pia kuna Jiwe la Pale Gangilonga asisahau kwenda.
 
Nilikuwa huko juzi tu, though nilienda kikazi

Kwakuwa unaenda kwaajili ya ku-have funny hopefully utakuwa na muda mzuri wa kufurahia

Binafsi ile baridi imenikimbiza, maana inagonga hadi kwenye mifupa 🙌
Kaenda June. Unategemea nini? Ikifika saa 12 mji unalala.
 
Unaeza enda sehemu moya wanaita kihesa kilolo, kuna swing/slide ya kamba toka upande mmoja hadi mwingine. Kabembee mkuu 😀😀.

Pia usisahau kupata ulanzi.
 
Back
Top Bottom