Day Trip Iringa

Day Trip Iringa

Umeona unisisitizie hapo location kule kwenye Fuvu la Mkwavinyika Mkwawa au Kaburi la Baba wa Mkwawa lipo lile ambalo ukienda eneo la Kaburi hauruhusiwi kuingia na viatu viatu unavua mbali sana mule unaingia peku
Hayo masharti kama unaenda kiringeni
 
Moja ya vivutio ni ujaaji wa bucha za nyama ya mbwa kila kona ya iringa
 
Check wajamaa wa TaTanga Tours watakupa local activities za Iringa
Upelekwe Kalenga ngomeni
Daytrip ziko nyingi
Pia Ruaha National park you can do it Daytrip tour
 
Check wajamaa wa TaTanga Tours watakupa local activities za Iringa
Upelekwe Kalenga ngomeni
Daytrip ziko nyingi
Pia Ruaha National park you can do it Daytrip tour
Ushauri mtamu sana
 
Kutoka top ya mawe ya Gangilonga
20240602_160007.jpg
 
Back
Top Bottom