Daz ukimwambia pigania haki yako kwa nini unakubali kudhalilika wakati anaekula hela zako yupo anadanganya tu watu anapigania haki za wasanii kumbe anawanyonya mpaka leo....Daz anakwambia "rasta namwachia tu Mungu"
P funk anafaidika nini na muziki wa Daz wakati Soko la kuuza Kanda halipo Tena?? Sidhani kama Majani alikuwa na roho ya korosho ...ingekuwa hivyo angekuwa tajiri mkubwa sana