Huyo naye ni zao la kokoro,ila bado yupo kwa sababu hakuna kama yeye na ndiyo maana bora liende.Hata hivyo tunawaombea mnyukano uendelee.Nilishangaa siku Kihongosi alipopendekezwa kuwa Katibu mkuu wa UVCCM lakini kinachonishangaza zaidi ni kwa nini mpaka sasa bado yupo hapo.
viongozi wanafiki.
Kukosekana uwazi hakumaanishi ni kufanya ufisadi ...! Kunaweza kukakosa uwazi na ufisadi usiwepo na pia kunaweza kukawa na uwazi lakini ufisadi pia ukawepo.Kukopa bila uwazi na kutokuweka matumizi wazi siyo ufisadi?
Hii ni kwa mujibu wa maoni yako?Yaani unataka niamini hiki ulichoandika hapa?Wewe ni nani hadi nikiamini?Kukosekana uwazi hakumaanishi ni kufanya ufisadi ...! Kunaweza kukakosa uwazi na ufisadi usiwepo na pia kunaweza kukawa na uwazi lakini ufisadi pia ukawepo.
Kama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
Kwa hiyo wewe unafikiri, logically ipo sawa kumtuhumu MTU ufisadi kwa kigezo cha kukosa transparency kwenye serikali yake? Je sababu hiyo inatosha kumtia hatiani?Uwazi ni kitu kingine na ufisadi ni kitu kingine japokuwa in some cases (not all cases) kutokuwa na uwazi huambatana ufisadi lakini haimaanishi moja kwa moja kukiwa hakuna uwazi ndo kuna ufisadi.Hii ni kwa mujibu wa maoni yako?Yaani unataka niamini hiki ulichoandika hapa?Wewe ni nani hadi nikiamini?
Ulichoandika kina sifa ya kuwa facts kwa hiyo nahitaji supporting evidence kutoka official sources.
Ana kasoro gani na Nd.ug.ai? Wote waliopigia makofi na kumsifia hawapo naye tenaKatika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki wazi kuwa imekopa nini na kwa matumizi gani.
Kilichonifanya nilete huu uzi siyo tu kumshangaa Bwana huyu bali nataka niweke wazi kuwa Tanzania hatuendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi wanafiki.
Anachomaanisha huyu Bwana ni kwamba alikuwa anajua kabisa kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi lakini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai ili kulinda ugali wake.
Katika Mataifa yaliyo serious viongozi huweka misimamo yao mbele kwa maendeleo ya Taifa.Viongozi huwa wapo tayari kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lakini huku kwetu ni tofauti.Viongozi wapo tayari kutetea ujinga,ufisadi,wizi,mauaji,ukandamizaji wa wananchi na kadhalika ili kulinda ugali wao.Hapa Tanzania viongozi wapo tayari kumtetea kiongozi aliebadilika kuwa kichaa au mwendawazimu ili kulinda nyadhifa zao.
Katika hali kama hii usitegemee Taifa kuendelea kamwe.Hii ni kwa sababu pale kiongozi anapoamua kubadilika kuwa fisadi,mwizi,mkandamizaji au hata kichaa basi hulindwa na chama chake pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani ambao lengo lao ni kulinda nyadhifa zao na wala siyo kutetea maslahi mapana ya Taifa.
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.
View attachment 2064795View attachment 2064796View attachment 2064797
🤣🤣🤣Wote waliopigia makofi na kumsifia hawapo naye tena
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki wazi kuwa imekopa nini na kwa matumizi gani.
Kilichonifanya nilete huu uzi siyo tu kumshangaa Bwana huyu bali nataka niweke wazi kuwa Tanzania hatuendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi wanafiki.
Anachomaanisha huyu Bwana ni kwamba alikuwa anajua kabisa kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi lakini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai ili kulinda ugali wake.
Katika Mataifa yaliyo serious viongozi huweka misimamo yao mbele kwa maendeleo ya Taifa.Viongozi huwa wapo tayari kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lakini huku kwetu ni tofauti.Viongozi wapo tayari kutetea ujinga,ufisadi,wizi,mauaji,ukandamizaji wa wananchi na kadhalika ili kulinda ugali wao.Hapa Tanzania viongozi wapo tayari kumtetea kiongozi aliebadilika kuwa kichaa au mwendawazimu ili kulinda nyadhifa zao.
Katika hali kama hii usitegemee Taifa kuendelea kamwe.Hii ni kwa sababu pale kiongozi anapoamua kubadilika kuwa fisadi,mwizi,mkandamizaji au hata kichaa basi hulindwa na chama chake pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani ambao lengo lao ni kulinda nyadhifa zao na wala siyo kutetea maslahi mapana ya Taifa.
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.
View attachment 2064795View attachment 2064796
Samia naye ni wale wale, anapenda mapambo na rangi za nakshi nakshiKama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
SureCCM na shetani ni kitu kimoja. Unafiki na uongo ndio sifa kuu ya kuwa kiongozi ndani ya CCM.
Na alipita akishadidia hilo, sijui anawezaje kujitenga sasa...SSH naye alikuwa sehemu ya genge lililokuwa likilaghai kwamba miradi inatekelezwa kwa fedha za ndani.
Ilikuwa ni mbaya sana! sana tu . Alikuwa ''accomplice'' hakuna shaka..Mtu aliyesema risasi tatu zilikuwa linatosha kumuua TL kama wauwaji wangekuwa ni watu wa serikali anaweza vipi leo hii kukana kuwa hakuwa sehemu ya mauza-uza ya utawala wa Magufuli?
[emoji38][emoji38][emoji38]Nilishangaa siku Kihongosi alipopendekezwa kuwa Katibu mkuu wa UVCCM lakini kinachonishangaza zaidi ni kwa nini mpaka sasa bado yupo hapo.
Siyo Mama tu, hata Kabudi hajawahi kumkubali Mwendazake, jamaa alikuwa wa hovyo kweli kweli, bora kafaNilichogundua kwa hasa wachumia tumbo wa lumumba ni kua kwanza wanamsoma kiongozi wao ni mtu wa namna gani.
Kwa jinsi wanaojitokeza wengi kumtupia lawama mwendazake ilhali zamani walikua wanamsifia ni dhahili kua mama haukua anaelewana na mwendazake kwa namna moja au nyingine na watu wa karibu huenda walijua hicho kitu.
Ndio maana sio viongozi wa chini yake tu ila hata yeye alishwahi kukiri huko nyuma hakukua sawa kwa kutupa madongo utawala uliopita.
Pamoja simkubali Magufuli, simkubali hiyo dogo na simkubali CCM lakini huyu dogo ameonyesha kuwa msaliti kwa huyo aliyempa maisha aisee.Huyu kihongosi magufuli ndie aliyempa maisha baada ya kumfurahisha kwa kusema atamuua zito kesho akapewa u DC Arusha.
Walipanda baiskeli ya miwa sasa kiu imewakamata wameanza kula spoke, watasema yote bila kuulizwa usicheze na njaa.Halafu wanataka sisi ambao hatukupata hata uteuzi wa balozi nyumba kumi ndio Tumsifie.