macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Umesema kweli mkuu Nyekundu. Hata nyendo zake zinaonyesha.Atajifunzaje wakati na yeye ni type hiyohiyo?!
Wakati makomeo anayakoroga samia alikuwa upande gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli mkuu Nyekundu. Hata nyendo zake zinaonyesha.Atajifunzaje wakati na yeye ni type hiyohiyo?!
Wakati makomeo anayakoroga samia alikuwa upande gani?!
Ningekuwa Rais Samia ningewapiga chini viongozi wote wenye element za ccmNchi hii ni sahihi tu walioimba navumilia shida
Vumilia shida
Yaan Rais wetu anawavumilia hawa jamaa
Yaan hawa ni vumilia shida navumilia tu
Hilo nalo nenoAtajifunzaje wakati na yeye ni type hiyohiyo?!
Wakati makomeo anayakoroga samia alikuwa upande gani?!
Kuna mtu alisema juzi tukodishe mzungu aje kututawala kama tunataka maendeleo kweli.Du aisee tutachelewa kupata maendeleo kweli.
Ccm ni ukoo wa kambare, kila mtu ana mandevu, ni mwendo wa kujiropokea tuKatika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki wazi kuwa imekopa nini na kwa matumizi gani.
Kilichonifanya nilete huu uzi siyo tu kumshangaa Bwana huyu bali nataka niweke wazi kuwa Tanzania hatuendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi wanafiki.
Anachomaanisha huyu Bwana ni kwamba alikuwa anajua kabisa kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi lakini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai ili kulinda ugali wake.
Katika Mataifa yaliyo serious viongozi huweka misimamo yao mbele kwa maendeleo ya Taifa.Viongozi huwa wapo tayari kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lakini huku kwetu ni tofauti.Viongozi wapo tayari kutetea ujinga,ufisadi,wizi,mauaji,ukandamizaji wa wananchi na kadhalika ili kulinda ugali wao.Hapa Tanzania viongozi wapo tayari kumtetea kiongozi aliebadilika kuwa kichaa au mwendawazimu ili kulinda nyadhifa zao.
Katika hali kama hii usitegemee Taifa kuendelea kamwe.Hii ni kwa sababu pale kiongozi anapoamua kubadilika kuwa fisadi,mwizi,mkandamizaji au hata kichaa basi hulindwa na chama chake pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani ambao lengo lao ni kulinda nyadhifa zao na wala siyo kutetea maslahi mapana ya Taifa.
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.
View attachment 2064795View attachment 2064796View attachment 2064797
Hao viongozi wa hiyo ccm wana upeo mkubwa kiasi hicho sasa ?Ningekuwa ni mimi, kiongozi yeyote anayenisifia hata pale ninapokuwa nimechemka, NAMTUMBUA mara moja.
Au ili kuwajua wanafiki ndani ya serikali yangu naweza nikaamua kutoa wazo la kipuuzi/ kipumbavu kwa kusudi ili niwatambue wanafiki watakaosifia wazo/jambo hilo wakati wakijua ni la kipuuzi.
Huyu kihongosi magufuli ndie aliyempa maisha baada ya kumfurahisha kwa kusema atamuua zito kesho akapewa u DC Arusha.
Mtoto umri huu ameshaanza kunenepa mpaka matako?
Aisee chalii angu mkolosai ntairudisha.Semenya wa ukaldayo rudisha avatar picha ya Yule dogo.
Nimemlisha maneno gani?Mkuu mbona kama umemlisha maneno?
Wapi kasema magufuli alikuwa fisadiNimemlisha maneno gani?
Na sisi tusio na mababu tumtembelee nani?Uganga upo, muwe mnatembelea babu zenu mara moja moja vijijini huko...
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki wazi kuwa imekopa nini na kwa matumizi gani.
Kilichonifanya nilete huu uzi siyo tu kumshangaa Bwana huyu bali nataka niweke wazi kuwa Tanzania hatuendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi wanafiki.
Anachomaanisha huyu Bwana ni kwamba alikuwa anajua kabisa kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi lakini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai ili kulinda ugali wake.
Katika Mataifa yaliyo serious viongozi huweka misimamo yao mbele kwa maendeleo ya Taifa.Viongozi huwa wapo tayari kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lakini huku kwetu ni tofauti.Viongozi wapo tayari kutetea ujinga,ufisadi,wizi,mauaji,ukandamizaji wa wananchi na kadhalika ili kulinda ugali wao.Hapa Tanzania viongozi wapo tayari kumtetea kiongozi aliebadilika kuwa kichaa au mwendawazimu ili kulinda nyadhifa zao.
Katika hali kama hii usitegemee Taifa kuendelea kamwe.Hii ni kwa sababu pale kiongozi anapoamua kubadilika kuwa fisadi,mwizi,mkandamizaji au hata kichaa basi hulindwa na chama chake pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani ambao lengo lao ni kulinda nyadhifa zao na wala siyo kutetea maslahi mapana ya Taifa.
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.
View attachment 2064795View attachment 2064796View attachment 2064797
domo tu linaonyesha huyu ni ndumilakuwili
Waziri WA fedha, mtoto akasomee kayumba kweli. Big no
Na sisi tusio na mababu tumtembelee nani?
Kukopa bila uwazi na kutokuweka matumizi wazi siyo ufisadi?Wapi kasema magufuli alikuwa fisadi
Wanakula mali ya haramuYule jamaa bana ulikuwa ukimshambulia au kumuua mpinzani anakupandisha cheo, ama kuhakikisha unadumu kwenye nafasi yako. Wote waliomshambulia Lisu wanamaisha, hali kadhalika kwa waliomuua saa8, nk. Akina Kingai, Mambosasa nk wote uovu ndio umewanyanyua.