johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waulize hapo machame!Kwa hiyo ninaposkia MATAGA haya ndio MATAGA yenyewe au
Hapo ndo napozidi kushangaaMwenye hadhi yake hajaomba radhi !?
Hawajui watanzania, asiporekebisha hilo linaweza kumgharimu sana mbeleni hukoHapo ndo napozidi kushangaa
Basi muombee wewe msamaha kaka yako ded!Sasa Gondwe anaomba radhi kwa kosa lipi alilofanya ? Sipokei msamaha huo kutoka kwa mtu asiyehusika