DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.

Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.

Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.

Chanzo: ITV.

cc: Erythrocyte, Gentamycine

Maendeleo hayana vyama!
Huyo mkurugenzi wa Temeke atakuwa ni Bonge la mshamba ama Limbukeni kaona cheo cha ukurugenzi ni cheo kikubwa mno anatumia neno hadhi kishamba kishetani wakati yeye ni Mtumishi wa wananchi haipaswi kujikweza kipumbavu hivyo
 
Mkurugenzi ni mtu wa Kanda ya Ziwa na anatoka katika lile kabila "tukufu" kwa awamu hii.....
Ni Msukuma kumbe? Ndiyo maana amejaa kiburi cha kishamba shamba mno, sasa akiingia JF atajifunza adabu kwani humu ni shule ya kuwanyoosha wale wote waliolewa madaraka na kujiona ni mungu watu
 
Ni Msukuma kumbe? Ndiyo maana amejaa kiburi cha kishamba shamba mno, sasa akiingia JF atajifunza adabu kwani humu ni shule ya kuwanyoosha wale wote waliolewa madaraka na kujiona ni mungu watu
Siyo msukuma bhana!
 
Mkurugenzi wa Temeke ndio mwenye biashara ya kuosha magari pale Kijitonyama kwa David? Asije kufikiria yuko kijiweni kwake😂😂😂😂
Ni mshamba fulani hivi huwa tunajiuliza je?!angekuwa katibu mkuu ofisi ya Rais ingekuaje? si angejipa hadhi ya Rais wa Dunia kama akina Trump na Baiden
 
Gondwe kama anataka kuendelea kwenye nafasi yake ya u DC aachane na huyo DED.

Huyo DED ni "deep state" squad member kama alivyo Sabaya... na ndiyo wapendwa numero uno wa mamlaka iliyowaweka!
Mkurugenzi wa Temeke pengine ni wale wale wa kujikomba kwa mtukufu inabidi DC aishi nae kwa tahadhari na umakini mkubwa kwani hatachelewa kumuundia zengwe kuwa anataka Rushwa kwenye pesa za miradi ili atumbuliwe
 
Gondwe anamuombeaje msamaha huyu DED? Alipaswa kujiombea radhi mwenyewe. Hii ni kuendekeza na kukumbatia udhalilishaji.
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.

Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.

Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.

Chanzo: ITV.

cc: Erythrocyte, Gentamycine

Maendeleo hayana vyama!
like father like son!
#Autocracy
 
Ni mshamba fulani hivi huwa tunajiuliza je?!angekuwa katibu mkuu ofisi ya Rais ingekuaje? si angejipa hadhi ya Rais wa Dunia kama akina Trump na Baiden

😂😂😂😂
Hawa vijana wa makumbusho wa enzi za JK. Msamehe bure, nyumba ndogo nyingi huwa zinavuruga kichwa
 
ded na majigambo ya kipumbavu akifukuzwa kazi ataanza kulia lia asamehewe 7*70
 
Back
Top Bottom