DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

Huyo Mkurugenzi mpuuzi,
Kwanza inakuwaje DC anamuombea radhi?,tunafahamu Dc ni Mkuu wake kikazi,
Ila haiko hivyo technically speaking,wote wanareport kwa rais,
Maana yake,kaombwa aombe radhi,kagoma
DC hana mafungu kama aliyo nayo DED na kote Ma DC hata wawe wakali vipi kwa ma DED wananywea.Pia je ikiwa ni DED ni afisa kipenyo?
 
Huyo DED Mwakibibi amekuwa mtoto mpaka aombewe radhi...hii si radhi..
Kama kweli anamaanisha aombe yeye mwenyewe .
....kwa kifupi waandishi mnadharaulika sana poleni.
 
Huyo Mkurugenzi mpuuzi,
Kwanza inakuwaje DC anamuombea radhi?,tunafahamu Dc ni Mkuu wake kikazi,
Ila haiko hivyo technically speaking,wote wanareport kwa rais,
Maana yake,kaombwa aombe radhi,kagoma
Ndio wateule wetu hao wamefanyiwa vetting na kupewa dhamana na mamlaka ya uteuzi[emoji41]
 
Kongole kwake mh.Gondwe....

Wewe tunaufahamu UZALENDO HEKIMA BUSARA NA HESHIMA ZAKO....

Hakika huo ndio USTAARABU kwani taifa letu hili haliwezi kurudi nyuma kwa baadhi ya watu KUTOLEWA LUGHA ZA KASHFA NA ZILIZOKOSA UTU NA HESHIMA....

CCM imelijenga taifa hili ndani ya imani kuu 3:
1.Binadamu wote ni sawa
2.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
3.Ujamaa na kujitegemea ndio njia sahihi ya KUJENGA JAMII iliyo sawa na huru.

Kudos mh.Double G

MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Serikali SIKIVU ya AWAMU ya 5 ina wenye weledi wa uongozi Kama akina DC GONDWE wengi tu....

Serikali ya CCM inaziishi imani kuu hizi;

1.Binadamu wote ni sawa.
2.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa UTU WAKE...

Kudos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…