Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Kama hii habari ni ya kweli wacha nijizuie kutukana nisije kula ban bure hapa.
 
Kama ni kweli wale masheik walioshindwa kutambua tofauti kati ya hijab na ushungi wataswali msikiti gani? Watakuwa na uhalali gani wa kutoa mafundisho ya dini ya kiislam? tusubiri muda mengi yanaweza kufumuka na nahofia aibu ya karne!
 
bintimkongwe, mama mfunga nguruwe kule tegeta aka dc wa igunga alicho kuwa anakifanya ni zaidi ya ujambazi..mbona vibaka wanachomwa moto itakuwa huyu anae hatalisha utulivu wa tanganyika...nakama ni kukemea kitendo alichofanyiwa mwana mama huyo je huyo ndiyo mama wakwanza kufanyiwa kitendo hicho je huku muona josephine mke wa dr slaa alichofanyiwa arusha, vipi kuhusu mbunge wa cuf huko huko tabora..acheni unafiki
 
Unataka cheti cha ubatizo kiwekwe hapa JF una maana gani? hapa hatuulizani vyeti nenda sekondari kama unataka hivyo we jua ya kwamba bi fety ni mkristo mkatoliki..........Na unataka mbatizaji wake wanini? Ondoa upupu wako.
 
Unajua, kwa mfano wakichukuliwa wakenya watatu; kiongozi wa dini, mwanasiasa na mchumi wakaulizwa mlima klm uko wapi wakajibu uko kenya, kiongozi wa dini ndie atakaeonekana juha?
 
kwahiyo mkatoriki ndio apigwe na kuvuliwa nguo zake?Chedema kwa hili siwaungi mkono,wangeweza kumkata kistaarabu na ingewapa credit sana,sasa wao wameonesha sio chama cha ustaarabu na subra.
 
Bakwata bakwata!!!!!!!!! mbona mnauzalilisha Uislam? Kama issue ilikuwa Hijab kwa nini mlitoa tamko la kutoipigia kura Chadema? Ni aibu hamtufai.
 
kwahiyo mkatoriki ndio apigwe na kuvuliwa nguo zake?Chedema kwa hili siwaungi mkono,wangeweza kumkata kistaarabu na ingewapa credit sana,sasa wao wameonesha sio chama cha ustaarabu na subra.

Upuuzi wakoni waaina yake.Alichukua PF3 polisi akaenda hospitali?
 
Hiyo ndoa ya joseph na fatuma haina uhusiano na dini yake.....mama ni muislamu tena swala tano!hiyo haihitaji evidence ninamfahamu
 
MODS - hamisha thread hii kwenda Jukwaa la Siasa ili wengi zaidi walijadili ili upatikane ukweli wake. Mimi badi siamini.
 
YaleYale wasubiri yathibitike Kama ndivyo basi Bakwata yote kimasaburisaburi tu.
 
tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.
Hahahahaah! Hakyanani mkuu umenifanya nionekane chizi,yaani nacheka peke yangu!
 
Mpaka tujenge uwezo wa kujitawala na kuwaongoza wengine, haya ndo matokeo yake. Kuna mambo hayahitaji kukurupuka
 
Kwa hali kama hii ndo maana nkasema BAKWATA wameingizwa choo cha kike bila kujitambua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…