DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
Kama mimi naacha kazi hii ni aibu kwa watoto wangu na jamii inayo niheshimuEeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!!
ATAPANDISHWA CHEO KUWA MKUU WA MKOA
Muro tatizo lake ni inferiority complex!!!! Muda wote anahisi kudharauliwa.
mimi nadhani mh anachagua watu ambao hawana maadili ya uongozi kama huyu jamaa anayeweza kumrushia mwenzake maneno yaa kashafa mbele ya wandishi wa habari na mkuu wa mkoaNchi wamepewa vichaa
Like a father like a son.That is not how we are supposed to serve.
Kama mwanachama mtiifu wa CCM ambayo inajukumu la kuisimamia Serikali.
Naomba mheshimiwa D.C. aonywe na mamlaka ya uteuzi.
Hapo kwenye usalama hapo, ndio naona kuna shida. Kuna mambo yanafanyika hayakupaswa kufanyika namna yanavyofanyika.Wala usohangaike huyo mla rushwa Jerry kapewa wilaya kwa sababu aliyemteuwa ni kichaa na usalama wataifa wamekuwa malaya w kisiasa na kujali matumbo yao utawala mwingine jerry angekuwa ndani
Mimi simlaumu anaewateua, ila TISS wako wapi wanaruhusu watu wa namna hii kupewa mamlaka?? Naamini kabla ya mtu kuteuliwa lazima waulizwe kwanza. OTHMAN Rashid, saidia babaTaitizo ni kuteua viongozi kwa mihemko na sifa ,eti wakitukana wapinzani wakikusifia ndio unawateua hii si busara,kuna vyuo vinatoa viongozi kama Hombolo au basi akiwateua awape semina,tunalekea kubaya sana