DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

M
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile



Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'



Magu alipewa jina na Makonda, baada ya Jerry kutumika kuichafua CDM sawasawa hiyo ndo fadhila!! Jerry's appointment was never on merit but foolishness! This is typical insanity
 
Jamaa kamà yeye ndo RC....Gambo ambae ndo boss wao kaduwaaa tu
 
Aisee ningemrukia kama paka huyo DC wangekuja kuniwekea dhamana tu mahakamani. Siwezi kuvumilia mimi.
 
Wamewala wengine wamekwisha sasa ni kulana wao kwa wao tu. Baada ya kumalizana watahamia kwa wapiga kura wao.
Muda ndio mwalimu sahihi kabisa ktk hili wadau
 
Mlitaka amchekee??? Ila c vzur kumnyooshea kidole mtu tena nje nje ivo
 
Ndio maana vijana wakiume siku.hizi hawaaminiki kabisa....
 
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!!
Kama mimi naacha kazi hii ni aibu kwa watoto wangu na jamii inayo niheshimu
 
ATAPANDISHWA CHEO KUWA MKUU WA MKOA

Ukifaulu ukichaa wa wilaya unapandishwa kuwa chizi wa mkoa!! Ni zama za machizii. Muroooohoooo, chapa kazi. Imagine jinsi anavyowafokea das, watendaji wa vijijini, makarani, nk.... Madaraka ya kulefyaaaa....!

Angeweza kuongea nae kwa faragha na wakawekana sawa. Kuongea mbele ya media ni kutaka sifa na unnecessary attention. Ujinga mtupu. Wateule wa hii regime mhhhhhhh. Wengi wanakosa busara.
Jamaa anasahau kwamba huo u.DC ni cheo cha kupita tu. Shame on him. Little brat. Too much tantrums!!!
 
That is not how we are supposed to serve.

Kama mwanachama mtiifu wa CCM ambayo inajukumu la kuisimamia Serikali.

Naomba mheshimiwa D.C. aonywe na mamlaka ya uteuzi.
Like a father like a son.
 
Wala usohangaike huyo mla rushwa Jerry kapewa wilaya kwa sababu aliyemteuwa ni kichaa na usalama wataifa wamekuwa malaya w kisiasa na kujali matumbo yao utawala mwingine jerry angekuwa ndani
Hapo kwenye usalama hapo, ndio naona kuna shida. Kuna mambo yanafanyika hayakupaswa kufanyika namna yanavyofanyika.
 
Ndo maana nasema Manara ana akili sana.
 
Taitizo ni kuteua viongozi kwa mihemko na sifa ,eti wakitukana wapinzani wakikusifia ndio unawateua hii si busara,kuna vyuo vinatoa viongozi kama Hombolo au basi akiwateua awape semina,tunalekea kubaya sana
Mimi simlaumu anaewateua, ila TISS wako wapi wanaruhusu watu wa namna hii kupewa mamlaka?? Naamini kabla ya mtu kuteuliwa lazima waulizwe kwanza. OTHMAN Rashid, saidia baba
 
Back
Top Bottom