DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Naona ded umefunguka ukweli... Safii daima Kweli itakuweka huru
 
Acha ujinga wewe.
Aliyekwambia ukiwa mwakilishi wa Rais kazi yako ni kutukana watu nnani?
Je, unataka kusema kwamba Rais Magufuli anayewateua ndio anawatuma kufanya kazi za kihunihuni za kutukana watu na kuwaweka L/up masaa 24/48?
Ukweli utabaki kuwa ukweli ila tusi ulilonitukana likuridie wewe

Sent from my TECNO N5 using JamiiForums mobile app
 
Jokate Mwegelo,Malaya mstaafu umemsahau ,mkuu usishangae ,Rais wa hovyo huteua watu wa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais mwenyewe ni chizi unatarajia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gambo anamuangalia tu kwasababu anajua kilichowahi kumtokea miaka ile ya 2012/2013 alipokua Korogwe na akajifanya kukorogana na DED,alipata tabu sana Gambo,amwambie Muro awe makini.
 


Madaraka ni kama software ya nyongeza kwenye software endeshi anbayo ni utashi wa kiongozi husika, kama software tumizi ikiwekwa juu ya software inayotafunwa na wadudu basi usitegemee mafanikio katika software tumizi.
 
Kutokana na mlolongo wako wa simulizi nimethibitisha haya yafuatayo.

1. Dr alijuwa kama wana msafara. Inaonesha hayuko organised kiasi cha kusahau nyaraka muhimu.

2. Dr alikuwa amjuilishe bosi wake kwamba anaondoka kwenye macho yao kwa sababu maalumu

3. Kiongozi wa msafara alikuwa ahakikishe watu wote muhimu wapo ndio aanze safari. Ni sawa na kwenda kuzika mukamuwacha padri au shehe nyuma kwa sababu alienda kujisaidia.

4. Hakuna ufuataji wa discplinary code of conducts kiasi ambacho kiongozi huhukumu kwa hisia zake.

5. Kuna sense.of.insecurity na inferiority kwa.DC juu ya DED wake kwa kuzidiana kiwango cha elimu au uzoefu au umaarufu. Kwa hiyo DC alitaka kuonyesha misuli at the first opportunity.

6. DED hajiamini na inaonekana anamuonesha kumuogopa DC kiasi cha kumpa mwanya wa kumtolea maneno ya ovyo mbele ya dunia.

7. DED aitendee haki elimu yake na kuprove kwa dunia kwamba yeye ni Dr by qualifications na kwa maana hiyo hayuko tayari kuzarauliwa. Aombe kuombwa radhi ama ajiuzulu
 
Huyu jamaa nae ajitafakari, anaboronga sana. Ajifunze kwa mwenzake Godwin Gondwe.

Upuuzi anaoufanya anudharirisha ukuu wa wilaya. Hii kazi wawe wanawapa watu wanaoelewa maana ya uongozi. Sio kila mlopokaji ni mtu sahihi.
 
safi kabisa mkuu ila kujibu hoja zako ni kuwa
1. Msafara ulikuwa unaelekea kwenye baadhi ya jamii zilizo kuwa na migogoro hivyo basi isingekuwa rahisi kwa binadamu wa kawaida kukumbuka documents zote ambazo zilikuwa zimetunzwa baada ya kujaribu kutatua huo mgogoro hapo nyuma hivyo baada ya kukumbuka kuwa documents fulani zingesaidia katika hilo ikambidi arudi ofisini kuzichukua.
2. Aliwajulisha mabosi zake ikiwemo dc, Rc na Rpc wakamwambia wanamsubiri ila haikuchukua muda baada ya yy kuingia ofisini wakaondoka.
Hoja nyingine sidhani kama nina maoni katika juu yake
 
Hapo ndipo wasomi wajue madhara ya kukubali vyeo ambao watakuwa wanakemewa na VIJANA wasio na elimu kubwa
 
Anataka kumfukuzisha kazi mwenzake,yaani akipandishiana nae ni Insabodination na kosa hilo adhabu yake n summary dismissal.Mtakumbuka issue ya yule RC wa Mwanza na RAS wake, RAS alipoteza kazi kwa kawaida ugomvi au chuki zinatokana na mafungu.RAS na DED wana control funds .Ilikuja eleweka baadae yule RC in MTU wa namna gani.Accounting Officer akigawa hela ya Serikali hivyo yeye ndio anawajibishwa ukiwanyima chuki zinaanza.,Viongozi wakuu wanalijua hili wawalinde Accounting Officers vinginevyo wakichoka kubana wataachia na magoli yafafungwa
 
Wanyooshane kabisa. Wateule wa Raisi.
Hajameambia akatafute nchi nyingine ya kuishi? Huyo Jerry juzi kawaambia wananchi wakatafute nchi nyingine.
 
Uongozi ni dhamana na katika swala la uongozi usijiite wewe ni mkubwa kwani hii ni tofauti na umri wa MTU kwani katika umri mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu. Lakini uongozi ni kubadilishana vijiti. Leo itazaa kesho hivyo kesho hatujui itazaa matunda yapi. Muro zingatia hilo mkuu
 
Madaraka ya kulevya matamu sana ndo maana ata mtu akiharibu zaidi kujiengua hataki ndo wanachopenda kufoka hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…