Kwa desturi za ki africa ni mtoto mdogo tu unaweza kumnyooshea kidole na si sawa kumnyoshea kidole mwanao au bint yako wa zaid ya 20yrs maana utakuwa umemuweka katka fungu la wasio maana tafuta njia nyingine ya kumuonya au kumuasaNiliwah kuambiwa na mzee wamgu kwamba mtu akiongea na mm huku ananinyooshea kidole maana yake siwezi mfanya chochote, ni ishara ya dharau
"Nilimteua luhaga mpina kua waziri sababu ni kichaa kama Mimi"Nchi wamepewa vichaa
Hakika. Ni kinyume kabisa na kanuni za uongozi boraNchi wamepewa vichaa
Haombi mafuta ya DED, anaomba mafuta ya serikali. Kama ana ubavu akatae.Nijuavyo DED kwa mafungu wapo vizuri zaidi,Mara nyingi DC, wanaomba hata mafuta.Awe na akiba ya maneno.
BAADHI YA WASHIKA VYEO HAWAJUI KUWA STAFF WAO WANA TEAM KWA MABOSI WAO PIA.....UKIMUUDHI DED UMEUDIH HADI MTOTO WA KAMBO NYUMBANI KWANGU...TUKIKUKUAMILIA utapata tabu sana.Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!! Dr. Mahela is the most reputable academician, alafu Jerry anamfanyia hv? OMG..!!
PhD holder kajidhalilisha mwenyewe kukubali kufanya siasa badala ya kulikomboa taifa kuondokana na ugonjwa wa kuogopa hisabati.Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?
Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa Hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure na (certified) mropokaji. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Takataka ni huyo PhD holder ndo maana anaendeshwa na bichwa tupu na akanyweaMuro anamuogopa MKurugenzi. Mkurugenzi ana PhD wakati Jerry ni takataka mzoa mavi bichwa tupu. Sasa anajihisi kudharauliwa.
Kwa desturi za ki africa ni mtoto mdogo tu unaweza kumnyooshea kidole na si sawa kumnyoshea kidole mwanao au bint yako wa zaid ya 20yrs maana utakuwa umemuweka katka fungu la wasio maana tafuta njia nyingine ya kumuonya au kumuasa
Aache vitu vya hovyo achape kazi ila hii kufokeana ni ukosefu wa nidhamu na ustaarabuataacha akikua naona bado anakua
Wachaga huwa hawana huo ujinga sijui kautolea wapi?Sijawah kuona mchaga bogus kama huyu
Kuna clip nyingine amesema kabisa “mimi kama mkuu wa mkoa....... tena mbele ya RC Gambo. Nadhani kashapata tetesi kuwa mkuu wa mkoa. Sasa Gambo anavyokuwa mpole vile wakati DC anamtukana DED, maana yake nn. Labda anajuwa mkoa wa Arusha utamtupa mkono very soon.ATAPANDISHWA CHEO KUWA MKUU WA MKOA
Wakulaumiwa ni CCM kwa kufanya majaribio ya hatari.DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
Huyu si mchaga inasemekana mamayake alionekana kwa Makonda na wanawake waliotelekezwa kwamadai alitelekezwa na Mkurya.Wachaga huwa hawana huo ujinga sijui kautolea wapi?
Muro yupo sawa tuache kufanya mazoea na uswahili kwenye kazi,kwanini uchelewa kazini wakati unajua muda wa kuwepo kwenye kazi yako,Watanzania ni watu wa ajabu sana sasa mlitaka aliyechelewa apigiwe makofi na kupongezwa kwa kuchelewa.DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
Comment yako inaondoa vidonda vya tumbo, ana Phd ya HISABATI? aseh... Sasa kwann asirudi kufundisha asehWewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?
Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa Hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure na (certified) mropokaji. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]