Tetesi: DC Jerry Muro atuhumiwa kumchapa makofi kondakta wa basi wakati akijaribu kujitetea

Tetesi: DC Jerry Muro atuhumiwa kumchapa makofi kondakta wa basi wakati akijaribu kujitetea

Tatizo mnataka kila kitu kulalama, kosa la jerry ni nini,lazima mtu upewe kitssa ili akili imkae mnajifanya mna huruma sana wakati upuzi wa madereva kutofuata sheria za barabarani ndiyo unasababisha ajali kila siku,
Hana mamlaka kisheria kumpiga mtu huyo anatakiwa afukuzwe kazi kabisa
 
Jery sikuhizi hataki mabibi. Amekua kams mtu wa Mombasa
 
Uyo jamaa anawaonea maboya

Viongozi wa siku hizi wanatengeneza maadui kilazima
 
Dah mimi najiuliza kwanini matukio ya hivi hayanikuti.
Ha ha ha haaaaaa.... Mungu anakuepusha na jela mkuu, maana na-imagine ukishapigwa kofi reaction yako itakuaje!

By the way naomba kuuliza, mtu kama yule konda hawezi kumfungulia mashtaka? maana gari alipark dereva siyo konda.
 
Laiti kama mimi ndio ningekuwa konda sasa hivi sijui ningekuwa wapi!
 
Hawa wateule wamezidi ubabe wa kifala wasingekua na kinga ni kumpa vitasa vy a uhakika
 
Back
Top Bottom